-wajifunze kutokana na makosa yao ili wasirejee tena.
-kama wana ujasiri wa kuachana basi nibora wakaachana, madhali mambo yashamwagika hadharani ,hiyo ndoa haitokuwa na raha na heshima mbele za majamaa na marafiki, kwa lugha nyengine itakosa baraka za kupendezesha katika jamii ambayo itapelekea...
ilikuwa project fulani ambayo ilizingatia kutathmini mambo yanayochangia kuvunja ndoa katika jamii za kileo, iliandaliwa na umoja fulani wa NGO(jina kapuni), na mimi nikiwa mmoja wa wahusika, na bado inaendelea lakini katika hatua za awali imefanikiwa. msaada wenu ni wa kushukuriwa sana.
quiet
teh teh teh! FL1 , kumbe hujasahau?, zawadi ipo lakini rais hatokasirika akiona vijizawadi vya quiet? (joke). BTW nimefurahi pia kwa msaada wenu. tupo pamoja.
quiet
habari zenu waungwana?
nitakuwa mwizi wa fadhila kama sitotoa shukrani zangu kwa msaada wenu. ahsanteni sana kwa kunisaidia kuikamilisha ile project ya , sumu ya ndoa ni...... , nina furaha kukwambieni kwamba imefanikiwa na jf ndio sehemu ya mafanikio yake. ahsanteni kwa wote walioshiriki na...
ni thread muhimu sana katika kuokoa ndoa. nimeshuhudia ndoa kadhaa zilizokuwa na mapenzi, zimejikuta zikianguka na kubomoka kutokana na hii kadhia ya mwanandoa kupeleka mashtaka yake mahala pasipostahiki. tubadilikeni jamani.
quiet
jina ni kitambulisho muhimu kwa mtoto atakapokuwa. jina baya litakuja kumfanya mtoto ajiskie hata aibu kujitambulisha kwa wenzake wakati akiwa mkubwa (hasa katika zama hizi za kujikweza), ni vyema wazee wakakaa kitako na kutafuta jina ambalo atakuja kulifurahia kuitwa mtoto wao akiwa mkubwa...
mwanandoa anaemuogopa Mungu ndie mwanandoa unaeweza kumuamini zaidi kwa ulimwengu wa leo, kwani anaogopa na huku akiitakidi kwamba aanalofanya Mungu anamuona ,kwahiyo ni tabu kukuendea kinyume hata pale anapokuwa mbali na upeo wa macho yako. hivyo kama umepata nafasi ya kupendwa na anaemuogopa...
kaka chrispin.
nakubaliana na wewe kwamba wapo wanywaji ambao wanaweza kujidhibiti na unywaji wao, lakini tukiangalia tathmini za kilimwengu hususan nchi zinazoweka tathmini kama za ulaya magharibi na marekani utakuta kwamba mahusiano mengi yanavunjika mwisho wa wiki baada ya unywaji. na...
hawa jamaa bila ya kuwavunjia heshima lakini pia waliijengea tanzania taaswira mbaya kidogo kwavile kujifanya kama wanawake ambapo wengi wa wasiowajua (mataifa ya nje) wanawachukulia kama mashoga. niliwahi kuona comment moja inayohusiana na video yao nadhani kwenye you tube(sikumbuki vyema)...
pombe ni mama wa maasi, mwambie aitishe kikao na wazee atoe dukuduku lake na mume ashauriwe kuacha pombe haraka iwezekanavyo. kama mume hatoweza kuacha pombe basi ni vyema hiyo ndoa ikavunjika. kwasababu mlevi kama huyo anaweza hata siku moja akaja kumdhuru mke wake au hata kumuuwa bila ya kujua...
ni tabu sana mwanamke kuweza kujiamini kumtumia msg mume wa mtu kama hujamuonesha udhaifu fulani. kama sio hivyo basi inawezekana kafanya maksudi ili kukutia kisirani na mke wako.
ushauri: kama ni kweli huna makosa wala mawasiliano na huyo mwanamke basi hudhuria kikao na elezea uaminifu wako kwa...
hayo ni maradhi fulani ambayo wanakuwa nayo wengi wa wanaume. wakikutana na wanawake na kulegezewa sauti basi utawakuta wanasahau majukumu yao na uadilifu wa kikazi. ulipaswa kumfuata na kumueleza kwamba alivyofanya sio vizuri.
quiet
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.