Recent content by Quick win

  1. Q

    Chanjo ni Lazima: Hoja ya Mbowe ina Mashiko

    Kwani si ukachanje wewe ? Ukichanjwa hutaugua wewe sasa pilipili usizozila zakuwashia mini? Anayetaka akachanje usilazimishe mtu kwani kuna ajrnda gani nyuma mpaka iwe lazima!?
  2. Q

    Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

    Kwa tulivyoelezwa na JPam kama yalikuwa kweli basi inasikitisha sana kwamba kuna watu wako tyr kulinda maslah yao kuliko ya Nchi duh ! Mbona hawakumjibu kwa kuitetea kuwa bandari hii Ina maslahi kwa Taifa ??!!! Aisee nimehuzunika, hatuna msimamo kila ajaye ana lake mmh
  3. Q

    Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

    Huko waliko na hizo chanjo bado ugonjwa unaendelea usunbua kwa kasiya ajabu pamoja na kuchanjwa! Chanjo hizo sio suluhisho. Raid ana vyanzo vya habar vingi vinavyompa majumuisho, hivyo anattuongoza vena na hafuati mkumbooo! Mungu ndu awezaye kutusaidia na ndiye tunamkimbilia. Tuchukue tahdhar...
  4. Q

    Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

    Huko waliko na hizo chanjo bado ugonjwa unaendelea usunbua kwa kasiya ajabu pamoja na kuchanjwa! Chanjo hizo sio suluhisho. Raid ana vyanzo vya habar vingi vinavyompa majumuisho, hivyo anattuongoza vena na hafuati mkumbooo! Mungu ndu awezaye kutusaidia na ndiye tunamkimbilia. Tuchukue tahdhar...
  5. Q

    GE2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

    Uko sawa sana Pasco ! Ajae in JPM wala hapana Shaka! Huo ndio ukweli hata kama n mchungu kwa wengine. Alunta continua
  6. Q

    GE2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

    Ananyosha kidole kimoja kwa Nchi yetu amesahau kuwa vidole vinne vinamwelekea mwenyewe marekan. Kweli maandiko hayakukosea kuwa 'unatoa kibanzi kwenye hicho la mwingine wakati kwako kuna Boriti kubwa unalofanya huliooni?????? Kweli akili za kuambiwa changanya na zako by JK ! Hii ndio marikani...
  7. Q

    GE2020 Dkt. John Magufuli bado tunamhitaji sana kama Taifa

    Tunamhitaj JPM sana , tena akijaaliwa wananch wakaandamana kumtaka kwa mingine zaid na akakubal bac Nchi itapaa. Nchi zimemkubal had Corona imejua kuna JPM mwenye kumtanguliza Mungu. Viva JPM
  8. Q

    Mnara wa Babeli unaanguka

    Mpaka sasa bado wanaota Ikulu? Duh ! Nikamsikia mtoto mmoja akisema labda wanaota ikulu ya Malawi ! Hii ya TZ wasubir matokeo! Kama walitishia kuchukua Nchi bac ilikua 2015 sio 2020. Yetu macho na masikio ! Jiwe litaibuka mshindi kama lilivyo Imara.
  9. Q

    GE2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

    Kufuatana na matamanio yako hiyo list yako! Cc tunaenda na JPM hata mfanyeje! Ameonyesha njia sana subirin hapa kaz !
  10. Q

    Mkapa kaondoka, je nani atamfunga paka Kengele?

    Aliondoka Nyerere Kuna watu wakasema sasa shamba la bibi, lakin ashukuriwe Mungu yu nasi kila wakati na udhibiti wa amani ukaendelea vzr. Tunaye kiongoz JPM tunaamini Nchi iko salama.
  11. Q

    Naiona hatari huko mbele uteuzi wa wanajeshi walio kazini kushika nyadhifa za kisiasa

    Nàunga mkono hoja ! Safi kbsa! Hata vijana na walemavu wamepata nafac serkalini , kuwaacha wanqjesh wetu nyuma ndio kunakoweza sababisha hayo uwazayo lkn kwa sasa viva JPM
Back
Top Bottom