Recent content by querauk

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

    Acha kuwa tegemezi fanya kazi namwombee nduguyo afanikiwe
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Tufanye kila tuwezalo Tumzuie...

    Wewe ndiyo ulolala
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamshangilia Dk. Magufuli! Asimamia, daraja la mto Mzinga lafunguka magari yaanza kupita.

    Anajoanda kuuza na madaraja. Hio itaifanya kabla ya 2015 apate mradi wa kuimgiza pesa haramu kama walivyouza nyumba za serikali na sasa zote zimepangishwa pesa mifukoni mwao
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaujua maeneo ya madada poa Kigoma

    Nyumbani kwa mkeo
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko ya Makatibu Wakuu wa Wizara

    Bila shaka hii threads ni ya uongo serikali haifanyi kazi kienyeji namna hii.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania special kwa wanyaru

    Duu umenikumbusha mbali sana Enzi za igwachanya na kitewasi. Utamu wa ulanzi (ulasi) ni kunywa asubuhi sana ukiwa mtoogwa (low alcohol percentage)ukinywa jioni unakuwa mdindifu High alcohol percentage na huu ndo unawachonga sana watumiaji. Hongera kwa aliyegundua ulanzi
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rwanda yamjibu Rais Kikwete

    Sioni tatizo kwa wanyaruanda kurudi kwao. waende wakaijenge nchi yao nasi watuachie TZ yetu. Ni ajabu wanasikitika kurudi kwao wanataka kukaa ugenini hadi lini? wengi wao wako kwenye mapori ya Burigi na biharamulo wasije siku moja wakasema eneo hilo ni lao na kuanzisha vurugu kama wanazofanya...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    kama kweli anahusika na kumwagiwa tindikali watu kule Zanzibar adhabu hiyo anasitahili. auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Agizo la Kikwete dhidi ya wahamiaji linapotoshwa

    Ardhi ya Tanzania ni ya watanzania na siyo ya wanyaruanda na waganda, Eneo wanalochungia mifugo ni letu watanzania na ni kwa ajili ya mifugo ya watanzania. Huwezi kufugia Tanzania, uingize magonjwa ya mifugo nchini kwetu, upate huduma za kuzuia magonjwa kwa pesa ya watanzania, ukiuza pesa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi wa kata chache hizi hali ni mbaya namna hii mwakani itakuwaje?

    Hakuna haja ya kulipiza kisasi, Mzee ulimi umeteleza, siyo sahihi kwa binadamu kumpiga na kusababishia maumivu mwenzio. Hapo mzee kachemka
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Assume imekutokea wewe utachukua siraha gani hapo kumuazibia mwizi wa mpenz wako

    Acha roho mbaya, waache waendelee kwani hiyo kitu haina meter kuonyesha kama imetumika sana au laa
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Ulitumia njia gani kumpata mke/mume/mchumba ulie naye sasa mwanzoni

    nilikutana naye kisimani
  13. Q

    JamiiForums Tanzania A Wife Files for Devorce after Catching her Husband Having ?????

    Huyo si mtu bali ni shetani
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Mungu inusuru Tanzania na matukio haya
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Lukuvi na elimu yetu watanzania!!!

    MKAO WA KULA; Ama kweli unasubiri kula, ukae mkao wa kula hadi utakapofikisha 50 uone joto lake. Ajira siyo uwaziri na ubunge zipo nyingi zinakusubiri amua sasa na anza kufanya kazi acha kulalamika
Back
Top Bottom