Shirikisho la soka barani Afrika limepitisha bila kupingwa kuwa Zanzibar ni mwanachama wa CAF. Wanakuwa wanachama wa 55.
Hawa ni baadhi ya wachezaji wenye asili ya zanzibar..wakijiandaa vizuri watakuwa na timu bora.
Mwadini ally
chollo
mwinyihaji
morris
canavaro
makapu
Mudathir yahya
Mohammed...
USHAURI WA AKIBA KWA OMOG.
Ubora wako ulithibitika toka ulivyokuja Tanzania pindi ulipokuwa unakinoa kikosi cha Azam(wana ramba ramba) na sasa bado unauthibitishia umma wa simba kwamba wewe sio wa nchi hii.
Unajua kutake risk as coach,Tar 25 february ulifanya substitution ambayo kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.