Haya maisha hayahitaji unyonge hata kidogo. Itafikia hatua utahisi ya kuwa wewe ni fungu la kukosa siku zote.
Kuna watu ambao watawahi kupata pesa, kazi ama mafanikio ya aina yeyote ile, mapema zaidi yako wewe. Pengine inaweza kuwa ni watu wako wa karibu unaofanya nao harakati mjini, lakini...
TANZANIA TUITAKAYO
MWANZO
Vijana ni hazina kwa taifa lolote lile duniani, taifa lisilokuwa na vijana wengi hukosa nguvu kazi hasa katika shughuli za uzalishaji mali, vijana wana nguvu, maarifa mapya, uthubutu na nia ya kuweza kuleta mabadiliko pale tu watakapopewa kipaumbele cha kuonyesha uwezo...
UTANGULIZI
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika moja ya hotuba zake aliwahi kunukuliwa akisema kwamba “Dhima kuu ya elimu ni kuleta uhuru wa kifikra miongoni mwa watu, uhuru wa kifikra ambao utawasaidia kujitoa katika wimbi kubwa la ujinga, utumwa na utegemezi, elimu ambayo itakuwa ni chachu...
Bima ya afya ni nyenzo muhimu inayomweesha mtu kuweza kupata huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kama vile zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, mikoa na kadhalika. Bima za afya huweza kuokoa maisha ya watu wengi sana duniani, kwa sababu ugonjwa huweza kutokea mda...
TANZANIA TUITAKAYO
UTANGULIZI
Kwa kiasi kikubwa nchi nyingiulimwenguni huweza kuwa na ubalozi katika nchi mbalimbali duniani kwa lengo la kuwakilisha na kulinda maslahi ya taifa husika katika nchi nyingine, kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia, kusaidia raia wa nchi yake wanaoishi nje pamoja na...
TANZANIA TUITAKAYO
MWANZO WA ANDIKO
Katika karne hii ya 21, hapana shaka ya kuwa mapinduzi ya sayansi na teknolojia yamekuwa ni makubwa kiasi cha kuleta mapinduzi makubwa ya viwanda sehemu nyingi sana duniani, kuzalisha ajira nyingi, kutatua matatizo katika jamii na kurahisisha namna ya...
UTANGULIZI
Katika nchi ya Tanzania tatizo la afya ya akili, limekuwa ni moja la tatizo linalogonga vichwa vya habari kila kukicha. Kumekuwa na taarifa nyingi sana za watu kujiua kutokana na sababu mbalimbali, matumizi ya madawa ya kulevya pia imekuwa ni tatizo. Takwimu zilizotolewa na shirika la...
[emoji38]. Achana kabisa na motivational speakers wanaosoma vitabu vya akina Brian Tracy, Kiyosaki, Robbins, Mason na Napoleon, halafu wakakuja kutuambia Think big, sijui never give up bila kutoa mikakati inayotekelezeka.
Kwa ground hali sio poa! Vijana watafutiwe njia sahihi aiseee!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.