Recent content by Quantum7

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanayo kamati ya maadili?

    We jamaa una akili sana, unatakiwa usome Havard kwa gharama za serikali.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Wakenya nao wanadeki na kusafisha barabara ujio wa Obama

    Issue sio OBAMA issue ni taifa analoliongoza.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    Mbowe anastahili kutunukiwa shahada ya heshima ya siasa. Ni mbunifu, wapo watakaopinga lakini Chadema ilivyo leo ni juhudi mbalimbali za wanachama lakini hasa kwa maongozi ya Mwenyekiti
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Ofisi zinanzia vichwani, wajenge uwezo kwanza majengo baadae
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Justine Nyari ndiye habari ya Arusha mjini kwa sasa

    LEMA hata akianza kampeni siku tano za mwisho hilo jimbo analichukua kwa bei ya jumla.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo kwa CUF kwenye kikao cha UKAWA kunaashiria nini?

    Hamjaridhika znz mnataka huku nako??
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Dr. Emmanuel Nchimbi: Tunataka Rais, hatutaki mfano wa Rais...

    Nchimbi mwanzoni baada ya tano bora kupita akaja na kuropoka alidhani ameshavuka mto. Sasa amegutuka na kujua hata mchujo wa ubunge bado, sasa inabidi ajipendekeze ili aone kama atapitishwa Ubunge. Nchimbi una hali mbaya kisiasa!!
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    #Christine maelezo yangu yalikuwa yanajibu hoja ya mtu. Na mtu alijibiwa kutokana na maelezo aliyokuwa ameyatoa kwa hiyo kwako ukianza tu kusoma maelezo yangu bila kuona kile nilichokuwa nakijibu, hutaelewa. Chukua muda anzia mwanzo wa habari. Asante!
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mungu haitaji campaign manager, anajitetea mwenyewe. Uongo na kweli itajulikana tu.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Naamini kama ni Media Kakobe kaanza muda sana, na kama kusikika kwenye media za Bongo ndio kujiona basi Kakobe angeliweza kujisifu sana. Suala hapa Kakobe huwa hatafuti kujikomba komba kwa watawala, tangu nimeanza kumsikia askofu huyu misimamo ambayo amekuwa anaitoa ni misimamo ambayo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Hivi watu Dar mnapata wapi pesa namna hii, Kila mtu gari?!

    JK ameshatoa jibu, maisha ni bora kwa kila mtanzania, baba ana gari, mtoto ana gari, mama ana gari na gari la familia. CCM.ni nzuri mnooo!!
  12. Q

    JamiiForums Tanzania ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    Tangazeni sera kwanza ACT mueleweke kabla ya kupambana na watangulizi wenu
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Wanaweza kudhani wanampunguzia mwendo lakini ndio kumwongezea mwendo
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Zitakapoanza chopa kukata anga, ZZK atasahaulika na ujamaa wake, nyie mnadhani nani anapenda umaskini? ujamaa ni umaskini ndio maana umeshindwa
  15. Q

    JamiiForums Tanzania CCM, mfukuzeni uanachama Edward Ngoyayi Lowassa, vinginevyo mtajikuta mmechelewa sana

    Anawadai balaa, so kitu pekee cha kumfanya ajilipe ni kumruhusu kuwa raisi, atajilipa mwenyewe akiwa madarakani. Mnacheza na EL
Back
Top Bottom