Dr. Emmanuel Nchimbi: Tunataka Rais, hatutaki mfano wa Rais...

Dr. Emmanuel Nchimbi: Tunataka Rais, hatutaki mfano wa Rais...

mwache tuuuu ahangaike hata ubunge hakuni nao kwa staili hiyoo atapigwa na NEC hadi atajuta jina halirudi

we unadhani maisha ni kuwa mbunge tu ....acha kuwa na akili kama muuza ufuta
 
Huyo mnafiki tu na sidhani kama hayo maneno yake yanatoka moyoni, na inabidi warudishe hela za mwenzao manina zao.
Mi nishawahi kusema kuwa hawa akina Nchimbi wanamshauri vibaya Lowassa eti hoo mafuriko hayazuiliki kwa mikono! hoo nani kama EL! yako wapi sasa? Cha msingi Lowassa ama awapeleke jela hawa jamaa waliokuwa wanamdanganya kuwa lazima awe mgombea wa CCM , au ahame chama.
 
Njaa ndiyo zinazowasumbua,mbona Magufuli alikuwepo kabla jina la Lowassa halijakatwa hawakusema ni mzuri,ina maana Magufuli amekuwa mzuri baada ya jina la Lowassa kukatwa?.
 
Nchimbi mwanzoni baada ya tano bora kupita akaja na kuropoka alidhani ameshavuka mto. Sasa amegutuka na kujua hata mchujo wa ubunge bado, sasa inabidi ajipendekeze ili aone kama atapitishwa Ubunge. Nchimbi una hali mbaya kisiasa!!
 
Dr.Nchimbi mbona haueleweki,juzi ulikuwa unalalamika leo unamsupport usiyekubaliana nae ! Kweli una hali mbaya !
 
Huyu nchimbi ni ndumilakuwili tu hana jipya.arudishe kwanza hela za lowassa alizokula maana walimuahidi ushindi lowassa.
 
Tehetehetehetehe. Team Lowasa kwisha habari yao

Umeanza kuonekana mitandaoni baada ya Mungu kujibu sala zako!

Hongera DC, maana kama sio sala yako kujibiwa sasa hivi ungekuwa unajiandaa kuhamia Burundi.
 
Wadada Wa kingoni wanabidii kunako 6*6! Watamu ila ndumilakuwili Kama Nchimbi
 
Wanasiasa wengi bongo wanafiki. Juhudi zote za kumnadi Lowassa baada ya kugonga mwamba sasa kageuka sababu anajua fisadi Lowassa hana deal tena. Kwa anataka asisahuliwe Magufuli akishinda! Njaa mbaya
 
Nchimbi upo sawa, kwanza team lowasa mmehakikisha team Membe & jk hawatobozi 3 bora na kisha mmehakikisha wanawake hawachukui kitu. Hongera Magufuli kwa kuokota dodo chini ya mwarobaini maana haukukwa na ramani yoyote ya ikulu kilichokutokea ni kwamba " kifo cha tembo furaha ya mbwa mwitu"

Jk mtoto wa kihuni, kahakikisha fedha za Richmond mmezirudisha kila mkoa kwa njia ya Rushwa then akawashughulikia, Nchimbi alisema anapinga kanuni kutokufuatwa Jakaya alimkata Kabisa bosi wenu chumbani kwa kushirikiana na Mkewe kabisa kwa kuwa alijua Kamati kuu kuna viredio na tape recorder za Mmasai
 
wameshamkimbia mzee wa watu...nchimbi mnafiq
 
Back
Top Bottom