Recent content by qualityfirst

  1. Q

    Naombeni msinilaumu kwa uamuzi niliouchukua kwa mume wangu

    Da hii kweli ni solution ya kibongobongo tutapona kweli na magonjwa ya siku hizi. Mungu awape hekima.
  2. Q

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Tuachie vyombo vya sheria vifanye kazi yake kama utahitajika mheshimiwa itaitwa useme unayoyajua kuhusu jambo hili
  3. Q

    Hivi kuna mwanaume rijali asiye tembea na machangu?

    right on dada! he seems to be seeking comfort in majority....speak for yourself mkubwa.
  4. Q

    Mmiliki wa jengo lililoleta maafa Dar apewa siku 30 kubomoa jengo lake lingine la ghorofa 16

    NHC is one of the owners so cannot avoid responsibility in this one.....but it is Tanzania, they have nothing to worry about.
  5. Q

    Babu wa Loliondo agundua UNYAYO wa mtu wa 182 tangu kuumbwa kwa Adamu...

    Huyu naye haishi vituko....maybe trying to spice up his old age life with undue attention.
  6. Q

    Tunauza uyoga (oyster mushroom)

    Unapatikana wapi? tupe directions
  7. Q

    humu ndani hakuna wa kuoa kabisa

    Aisee tupo kabisa; ila wadada wengi ni wazito kukutana uso kwa uso. Aliye serious tukutane mambo yaive
  8. Q

    Kipara kwa Wanaume ni "ishara" ya Magonjwa ya Moyo!

    Tumekwisha! hata kipara nacho ni risk factor?
  9. Q

    Kwa nini wachaga ni wabaguzi sana katika vyeo- bila kuwa mchaga hupandi cheo

    educated, hard working, and supporting each other that is why. Supporting each other is what is being blamed as ubaguzi....a little bit of truth there!
  10. Q

    natafuta mme aliye serious

    Mwanamke si chombo ....fanya heshima. Mungu atamsaidia atapata mwenza amtakae.
  11. Q

    Je Wewe Ni Mzazi? Ushauri Wako Kwa @Karucee Please.

    Do not worry the obsession will go away after a while
  12. Q

    Mch. Lusekelo: Mie na waumini wangu tutaendelea kula nyama iliyochinjwa na waislam

    Hii ligi ya kuchinja haitufikishi popote sanasana tunaonekana wapuuzi. Wakati nchi nyingine zinashupalia mambo ya maana sisi tumejikita kwenye haka za kuchinja. Halafu ukituangalia watanzania kwa karibu tulio wengi sio watu wadini hasa, ni lebel tu huyo muislam huyu mkristu lakini maisha yetu...
  13. Q

    Kimenuka NHC, Wizara yamweka kitimoto Mchechu na timu yake

    Jamani hii nchi hata ukiwa jembe vipi mifumo mibovu lazima itakukwamishe, tuna watu wazuri sana kiutendaji katika sector mbalimbali lakini matunda yao hayaonekani kwasababu ya mfumo mbaya
  14. Q

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Amakweli watanzania ni kama tumechoka amani na utulivu; unakuwaje swala dogo kama kuchinja kuwa big deal nakusababisha fujo mpaka polisi wanaingilia kati. Kama ni kuchinja, kila mtu ana haki hiyo ilimradi hamlazimishi mtu mwingine kula; na kama ni nyama ya biashara basi busara itumike ilikusiwe...
  15. Q

    Kikwete: Ipo misikiti mitatu jijini Dar-es-Salaam ilinisomea itikafu ili nife!

    Udini ulikuwepo kabla ya Kikwete ila ulikuwa chini kwa chini, sasa hivi umeibuka katika kipindi hiki cha kikwete kwasababu ya utandawazi uliochochewa na huru wa vyombo vya habari hasa mtandaoni. Lakini pia serikali hata viongozi hawakufanya jitihada zinazostahili kukabiliana na tatizo la udini.
Back
Top Bottom