Recent content by quake

  1. quake

    JamiiForums Tanzania Unatumia fridge ipi kati ya hizi?

    natumia la mafta taa la urithi😀😀
  2. quake

    JamiiForums Tanzania Interference & Non interference engines

    kaka kuna gari nnayo noah sr40 inakata belt balaa inakua bado ni mpya kabisa. uzuri ni non interference so natembeaga na belt ya akiba tu ikikata naita fundi anabadilisha maisha yanasonga sijui shida ni nn
  3. quake

    JamiiForums Tanzania Unafahamu injini ya gari aina wankel, Mnaotaka kununua magari habari njema

    zinakula oil balaa seal zake zikianza kufa
  4. quake

    JamiiForums Tanzania Je, umesikia habari za Uhakiki wa Leseni na Cheti Uliposomea Driving kwa Madereva ?

    kila nikirenew huwa wananidai cheti ni kitu kipo tokea mda ila ndio hivyo mtu anapitisha hela kidogo anapewa leseni mpya.. labda kama watakomaa safari hii
  5. quake

    JamiiForums Tanzania Toyota Succeed Cabin AC Air Filter

    ni kweli toyota succeed hazina hio kitu ipo sealed kabisa pale kwenye slot yake inapotakiwa kukaa
  6. quake

    JamiiForums Tanzania Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    hio taa ikiungua utajua tu maana ni lazima iwake wakati unawasha gari nahisi muda mwingine ni uzembe wa mtu kufuatilia
  7. quake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguo zimerudishwa ila nafsi yangu nzito kuzivaa

    choma na begi kabisa
  8. quake

    JamiiForums Tanzania Kazini kwako unapata likizo mara ngapi kwa mwaka?

    atakua mwalimu huyu
  9. quake

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Usimharibie biashara mwenzako bwana hapo ilipo hio nyumba ni kilima maji hayakaagi hapo labda ng'ambo ya lami kule
  10. quake

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Ream paper

    Hizi pale awale ni kama 42000 hivi bei yake imechangamka kidogo ila ana za A One na mondi ndio unapata kwa 33000 hadi 35000
  11. quake

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Road kuna nini leo, mbona foleni kubwa sana?

    Mimi imenikutia boko dawasco imebidi nipite na njia ya mbweni kufika bunju
  12. quake

    JamiiForums Tanzania Mama wa miaka 58, adaiwa kubakwa na vijana wawili

    [emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. quake

    JamiiForums Tanzania Wazamani (wahenga) tukutane hapa

    Mia kwa lisaa unakamatia phoenix yako unazunguka wee mpaka basi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. quake

    JamiiForums Tanzania Kwa kilichonipata jana kuhusu vocha za TTCL nimekoma sina hamu tena

    Kama una line ya tigo Ingia tigopesa kwenye menu ya vocha na vifurushi chini kabisa utaona mitandao mingine then baada ya hapo chagua ttcl haukatwi chochote.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom