Unatumia fridge ipi kati ya hizi?

Unatumia fridge ipi kati ya hizi?

Bro kama unazo na washing mashine nitumie nizione
Kampuni gani kiongozi, lakini pia kuna Top Load( Inafunguka juu)na Front Load [mbele],
Au niambie unataka ya matumizi gani nami nitakushauri ipi itakayokufaa
 
Airlux haijaniangusha
 

Attachments

  • PXL_20250317_103053944.MP.jpg
    PXL_20250317_103053944.MP.jpg
    278.3 KB · Views: 28

Similar Discussions

Back
Top Bottom