Recent content by Qssgent

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Kenya the giant of Africa is sleeping and the sleeping giant of east africa is waking up!! Viva Tanzania

    We do not export tourism but we earn forex through tourist gains. We earn export by selling Minerals (Gold, tanzanite, nickel, and other precious metals), Agricultural products (Tobacco, coffee, tea sisal, etc), horticulture (flowers ornaments, etc) fish and fish products, seafood and...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitabu vya dini vilikataza baadhi ya wanyama kuliwa?

    Walikuwa wachache sana wakati huo yaani "endangered Spish" lakini kumbuka kuwa hivi Vitabu havijafanyiwa update ndiyo maana hiyo katazo bado ipo vitabuni lakini kiuhalisia huko Mitaani Kitimoto, Sungura, Ngamia na Kambale ndiyo habari ya Mjini.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Dar: Afisa Mtendaji aliyeomba rushwa ya Milioni 1, ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. 500,000

    Hii imekaaje yaani analipa nusu ya hela alizopokea kama rushwa. Je nusu iliyobaki inakuwaje
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapendelea kutazama mpira kwenye baa au migahawa?

    Kwani Wanawake wao wanaangali wapi. Ni suala la ushabiki na penye washabiki wengi huwa ni Uwanjani kwenye live game, kwenye Baa, Vibanda umiza na migahawa mikubwa
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Ni utaratibu wa Kijeshi na umri pia ya kumudu hekaheka za ADC (Aide De Camp) yaani mlinzi na mpambe wa Rais mwenye uniform.
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

    Kidata na Mzee wa ups and downs. Amezoea hizi post hazimpi taabu. Umri nao umeenda
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Mimi kuna jamaa yangu YANGA LIA LIA amebeti kuwa SIMBA wakishinda siku hiyo ataniptia 1,000,000 Cash
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Wenzenu huko Israel wanapanga na wanatekeleza walichopanga siyo kurusha makombora hewani kama exhibition au ceremonial festivals. Yetu macho na masikio tusubiri ni suala la muda tu.
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa Viongozi unatisha

    Kwa maoni yangu Rais Samia amewashinda Wajerumani kutokana na kutumia fursa ya ukuaji wa Technologia ambayo imewezesha Nchi sasa kujenga Reli ya Kisasa Standard Gauge Railways kwa kutumia mapato yetu ya ndani (Hata kama tumekopa)
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Ikiwa nadaiwa mkopo na nikakiri nimeshindwa kulipa ni hatua gani naweza kuchukuliwa?

    Basi wachukue hiyo kadi na ili kila hela ikingia kwenye Akaunti yako wachukue kiasi hadi hapo deni lao litakapoisha. Tahadhari usiwape namba yako ya siri na ingependeza kama mtakubaliana kuwa utakuwa unalipa kiasi gani kwa mwezi.
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Nadhani ni jina la mwadhirka au mgunduzi wa mwanzo. Inaweza kuwa jina lake halisi au nick name yake...na wakati mwingine wanabatiza kwa namba... ambayo kwa maoni yangu inaashiria reg. Na. Ni mawazo yangu lakini sina vyanzo vya uthibitisho.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

    SOMA VIZURI HIYO SEHEMU ULIYOANDIKA " Umulike hata nje ya Mipaka yetu" maana yake ndni ya mipaka yetu limezingatiwa.
Back
Top Bottom