Recent content by qmanelike Mwenda

  1. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche achochea vurugu kwenye mikutano, wananchi wapokea kichapo na kuumizwa

    Upimbi unao wewe kichwani mwako. Usihamishie upimbi wako kwa wenngine wenye utimamu
  2. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Yaliyosemwa na mgombea ubunge CCM jimbo la Kinondoni Said Mtulia leo tar 3

    Mfa maji hakosi kutapata
  3. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania chadema ni lazima kife, ili tuanzishe Chama kingine!

    Utakufa wewe ili kupisha watu wapya kuzaliwa na kuleta mapinduzi ya taifa hili linaloendepea kukaliwa na chama mfilisi fisiemu
  4. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya adaiwa kukamatwa kwa kuchora katuni ya kichochezi. Yeye aibuka, adai aliyetoa taarifa 'AMESAIDIA'

    Ukiisoma picha hiyo kwa makini utagundua kuwa serukali haina kitu. Labda wanadhani ni udhalilishaji wa serikali
  5. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tumieni sikukuu hizi kukosoa hali ya taifa.

    Huyo alisha jipambanua yuko upande wa kudhurumu haki za Watz. Sijui uzee???
  6. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tumieni sikukuu hizi kukosoa hali ya taifa.

    Ndugu wana Jamii, tunafahamu hali ya taifal letu jinsi lilivyopigwa ububu ktk uwanja wa habari. Hali ya kisiasa ilivyo ya kibaguzi, wanasiasa wanavyokamatwa na kufunguliwa kesikama sehemu ya unyanyasaji. Mkombozi Yesu Kristo ni mfalme wa Amani. Ni matarajio yangu kiona na kisikia watumishi wa...
  7. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu Dodoma ataka Yericko Nyerere apewe PhD mbili kupitia kitabu chake cha Ujasusi

    Bei ya kitabu si rafiki kwa watz
  8. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Labda wanakimbia kwa hofu ya kuuawa, lakini nani atakuwa mkosoaji?

    Tupo zamq mpya za ukandamizaji wa demokrasia. MTU anawidwa kama mnyama.
  9. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Yaani huyu bwana ngeve amekuwa wa ajabu. Anajua kwenye vyombo hivi kuna kuna tivi na radio ambazo hueaburudisha wasafiri kwa nyimbo za dini na muvi mbalimbali. Kweli ameshikiwa akili. Tatizo gani lilitokea kwa watu kuzungumzia siasa au dini wawapo safarini? Yeye kamamtaalam anaweza akaweka...
  10. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumuita mtu kila Jua linapozama na linapochomoza

    Mh makubwa hayo
  11. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Peter Msigwa baada ya kusikia anatafutwa na Jeshi la Polisi.

    Yaani wamekula nchi imebaki makombo. Sasa wanaposhindwa kula makombo wanaamua kula na watu wanaojielewa. Atakayefuata atauza nyasa malawi, victoria kenya na uganda,bahari kwa wa china nk.
  12. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Polisi yachunguza mlipuko ofisi za wanasheria (IMMMA Advocates)

    Sijui wewe ni bwege kwa kiasi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. qmanelike Mwenda

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kuzaliwa kwa alliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa

    Happy birth to Edward Lowassa our president 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom