Yaliyosemwa na mgombea ubunge CCM jimbo la Kinondoni Said Mtulia leo tar 3

*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KWA TIKETI YA CCM, NDUGU MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KATA YA KIJITONYAMA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 3, 2018*

"Mtulia mie nilienda kuvunja kibubu changu nikaenda Mahakamani kuzuia bomoabomoa, Serikali ikanisikia na Watu hawakubomolewa" - Mtulia

"Nimeacha Ubunge ili nijiunge na chama cha ushindi, chama chenye dola, chama kinacholeta maendeleo" - Mtulia

"Chama nilichotoka wakisema nimewasaliti wapo sahihi maana tulikuwa 10 sasa wamebaki 9. Wewe Mwananchi nimekusaliti nini?" - Mtulia

"Sisi Wabunge ni kama Washenga ukitukana Wakwe utampata Mke? Wabunge wa upinzani wanaitukana Serikali, maendeleo watayapata wapi?" - Mtulia

"Hii ni ilani ya CCM ndio inayoendesha nchi. Kazi yangu mkinichagua ni kwenda kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi" - Mtulia

"Nikishinda mje ofisini kwangu Vijana na Wanawake mjiandikishe mkachukue mikopo yenu toka Manispaa" - Mtulia

"Kuna Mtu amekuja kugombea lakini hana familia wala kadi ya kupigia kura, mtampaje dhamana huyu Mtu?" - Mtulia

"Mtu ameshindwa kwa wapiga kura 3600, atawezaje kushinda kwa Watu zaidi ya laki 2" - Mtulia

"Kama wameshindwa kujenga chama jimbo la Kinondoni ukienda kukodi jeshi usitegemee utashinda. Mbunge wa Kinondoni ni Maulid Said Mtulia" - Mtulia

"Mkinichagua nitashirikiana na Serikali ya CCM kuhakikisha kila kata naleta magari mapya ya kuzolea uchafu" - Mtulia

"Kijitonyama mna matatizo ya kubambikiziwa bili za maji, mkinichagua hilo tatizo litakuwa historia" - Mtulia

"Mtanzania yeyote anayekufa kwenye hospitali ya Serikali, Marehemu asidaiwe pesa endapo uwezo wake ni duni" - Mtulia

"Utakitupaje mkono chama kinacholeta maendeleo, kinacho miliki dola?" - Mtulia

"Watu wa Kinondoni mnaona barabara za mwendo kasi, mnaona madaraja, mnaona hospitali nzuri. Yote ni matunda ya kazi za Chama Cha Mapinduzi" - Mtulia

"Nawaombeni sana mnichague Said Maulid Mtulia niwe daraja la kuwaletea maendeleo" - Mtulia
7f52f88263c493d588f48ef228be1ca1.jpg

2ed8a0a07b8866407b43e5b79cbc1da9.jpg
Nilidhani wote watu kumbe mingine miti.
 
IMG-20180203-WA0535.jpg
IMG-20180203-WA0536.jpg
IMG-20180203-WA0537.jpg
IMG-20180203-WA0538.jpg
 
Sababu pekee iliyosababisha ashinde ni kwakua ccm wenyewe walimchoka Idd Azan.

Jamaa kichwani hamna kitu.

Pia acha uongo, wanakinondoni hawana habari na hizi ishu

IMG_20180109_164413.jpg

Tangu kampeni zianze kila jioni tunabaki hapo kugawana posho huku njiani tukikimbizana na vitoto hata havijui kazi ya mbunge.
 
*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KWA TIKETI YA CCM, NDUGU MAULID SAID MTULIA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KATA YA KIJITONYAMA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 3, 2018*

"Mtulia mie nilienda kuvunja kibubu changu nikaenda Mahakamani kuzuia bomoabomoa, Serikali ikanisikia na Watu hawakubomolewa" - Mtulia

"Nimeacha Ubunge ili nijiunge na chama cha ushindi, chama chenye dola, chama kinacholeta maendeleo" - Mtulia

"Chama nilichotoka wakisema nimewasaliti wapo sahihi maana tulikuwa 10 sasa wamebaki 9. Wewe Mwananchi nimekusaliti nini?" - Mtulia

"Sisi Wabunge ni kama Washenga ukitukana Wakwe utampata Mke? Wabunge wa upinzani wanaitukana Serikali, maendeleo watayapata wapi?" - Mtulia

"Hii ni ilani ya CCM ndio inayoendesha nchi. Kazi yangu mkinichagua ni kwenda kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi" - Mtulia

"Nikishinda mje ofisini kwangu Vijana na Wanawake mjiandikishe mkachukue mikopo yenu toka Manispaa" - Mtulia

"Kuna Mtu amekuja kugombea lakini hana familia wala kadi ya kupigia kura, mtampaje dhamana huyu Mtu?" - Mtulia

"Mtu ameshindwa kwa wapiga kura 3600, atawezaje kushinda kwa Watu zaidi ya laki 2" - Mtulia

"Kama wameshindwa kujenga chama jimbo la Kinondoni ukienda kukodi jeshi usitegemee utashinda. Mbunge wa Kinondoni ni Maulid Said Mtulia" - Mtulia

"Mkinichagua nitashirikiana na Serikali ya CCM kuhakikisha kila kata naleta magari mapya ya kuzolea uchafu" - Mtulia

"Kijitonyama mna matatizo ya kubambikiziwa bili za maji, mkinichagua hilo tatizo litakuwa historia" - Mtulia

"Mtanzania yeyote anayekufa kwenye hospitali ya Serikali, Marehemu asidaiwe pesa endapo uwezo wake ni duni" - Mtulia

"Utakitupaje mkono chama kinacholeta maendeleo, kinacho miliki dola?" - Mtulia

"Watu wa Kinondoni mnaona barabara za mwendo kasi, mnaona madaraja, mnaona hospitali nzuri. Yote ni matunda ya kazi za Chama Cha Mapinduzi" - Mtulia

"Nawaombeni sana mnichague Said Maulid Mtulia niwe daraja la kuwaletea maendeleo" - MtuliaView attachment 689976View attachment 689979View attachment 689983View attachment 689984
pumba.
 
Huyu Maulid Mtulya atakuwa na matatizo ya afya ya akili. Sijui kwa nini ccm wameàmua kutudharau wananchi kiasi hiki? Katika watu wote wakaona watuletee Mtulya!!
 
Ana konga nyoyo za majuha na wasiojitambua kama wewe.

Back
Top Bottom