Hii naweza kuitolea ufafanuzi kama muhanga...mzee wangu alituchukua mm na mdgo wangu kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa mama mwingine....nilikua nina miaka 5 mdg angu alikua na 1.5...nilikuja kumuona mama yangu nikiwa na miaka 7
Sasa basi mpaka utu uzima huu sina kabisa mpnz na mama...
Hizi asilimia 2 au 10 mnakubaliana mwanzoni kabisa, na zinakua kwenye bei ya manunuzi kati ya mwenye eneo na dalali husika.
Kwa kesi yetu hapo juu, kiasi kilichoongezeka hakihusiani na mwenye eneo isipokua bei halisi ya manunuzi.
Mara nyingi wenye maeneo hawajui ilivyo kazi ngumu kupata...
Pole sana mkuu, mi nilishawahi kua monitor majina nikiandika jumatatu ni hayohayo nayatumia wiki nzima, yani nilikua sina muda wa kuandika upya...nayatunza akija ticha nampa yaleyale tu
Mwanaharakati wa WANYASA Tanzania, huu utapeli uliofanyiwani wa 1960's huko ulaya na mataifa yaliyoendelea.
Endelea kuendekeza tamaa ya pesa ya haraka...wakianza kutumia utapeli wa 1990's utatapeliwa tena wewe na WANYASA wenzio wenye tamaa ya pesa ya haraka.
Pole.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.