Recent content by Qboi96

  1. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwekewa pesa kwenye akaunti yako ya Benki bila kujua zimetoka wapi? Ulifanyaje?

    Dah Mkuu kwa hili tu sioni km ntasaidika tena😌
  2. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwekewa pesa kwenye akaunti yako ya Benki bila kujua zimetoka wapi? Ulifanyaje?

    Doh wallahi hapana, Nina changamoto kweli Mkuu, mpaka nimeomba nimekwama🙏🏽
  3. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwekewa pesa kwenye akaunti yako ya Benki bila kujua zimetoka wapi? Ulifanyaje?

    Kaka kwa heshma kubwa kabisa naomba unisaidie elfu 10 tu niongezee kwenye pesa ya Kushona sare za shule kwa ajili ya Mwanangu🙏🏽 0696122895
  4. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Ujasusi: Herbert Curkus muuaji aliyeuliwa na kuhifadhiwa kwenye sanduku la kusafiria

    Dah mkuu umeelezea kiufupi ila vizuri mno, Hapo ni kama nmesoma kitabu cha Page 200 ndani ya Page 5 tu, Hongera. Kwa Makala nyingine kama hizi uniTag Tafadhali🙏🏽
  5. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Ujasiri umejipotea ghafla

    Em niione hiyo K Na mm nataka nikose raha na ujasiri km ww.. Pm ipo wazi km unahitaji Dawa ya Fiterawa
  6. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Nitahakikisha watanzania zaidi ya million 40 wanakuwa na account ambazo zipo active

    Na Vipi Kuhusu Ukasanyaji wa Kodi, Utaongeza vyanzo vipya vya mapato kama vipo vitaje au utatumia njia zipi kuhakikisha kodi zinakuwa na tija kwa maendeleo ya nchi ili ziwe moja ya kichocheo cha watu kufungua Akaunti za Benki
  7. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya impe Nguvu Rais, aendelee Mpaka aseme "BASI" mwenyewe

    Mkubwa Lucas Mwashambwa kwa staili hii na hali ilivo naona ni kama unajipaka mavi sokoni, kuna mijadala sio ya kuizua kipindi kama hiki ambacho wadau hawaelewi nini kinaendelea, msifie Mhe Rais kwa unayoyaona yamefanyika ila ukileta mjadala wa kuongeza miaka ya kuongoza tena kwa kipindi hichi...
  8. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Naombeni support

    Jaribu kutembelea Maeneo ya Sober House Brother, Kuna watu kule wapo vizuri sana kupokea misaada..
  9. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu wa mechi ya Simba final

    Picha linaanza mtabiri hajuhi hata mechi inachezwa wapi😂
  10. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Pole sana Mkuu, Uamuzi Uliopanga kuchukua ni Bora Kabisa, Huyo Atapigwa na Walimwengu..
  11. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka your truly lovely EX kwa lipi? Nini hutosau kamwe pindi umuonapo au kukutana naye?

    Niunganishe naye nimfanyie service
  12. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri

    Tatizo dogo tu ilo ni P.I.D hiyo na Dawa za kuondoa tatizo kabisa zipo Mkuu, Kuna magome ya kuweka kwenye maji ya moto kwenye chombo ambacho ataweza kukalia akiwa uchi kwa wastani wa dk 15 tu ule mvuke uingie vizuri ndani ya wiki tu kwisha
  13. Qboi96

    JamiiForums Tanzania Waliotaka kuniona, maswali yasiwe mengi

    Njoo Arusha uniungishe simu nzuri ya kupigia picha nzuri zaidi Brother
Back
Top Bottom