Recent content by qambesi

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Huu ukimya unaashiria nini kwa Wapinzani hapa nchini?

    Kumbe chadema ni wanaharakati, vip kwa ww huwez kuwa mwanaharakati ukakemea na kulaani?
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ndani ya miaka mitano Serikali imeajiri walimu laki tatu?

    Uongo mtupu
  3. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nani mkweli kati ya hawa watu? Spika, NEC au CHADEMA?

    Chadema wanaenda kufanyaje mahakamani ,wao kazi yao wameshamaliza kuwafuta uanachama na NEC itangaze siyo wabunge halali maana hawana chama
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

    Mwenye mamlaka ya kupeleka majina kwa tume ni nani? Au kila MTU akiamua anapeleka tu unafikiri
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Historia hii itatubadilikia mbeleni kama tutaacha Tundu Lissu ashauriwe na mabeberu

    Upuuzi ni ule uliofanywa kupora haki za wananchi ili kujifurahisha na familia zao ,xaxa embu tuone wakatekeleze ahadi zao si walisema walisema hawategemei mabeberu tunajitosheleza
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Geita: Nyumba ya Mgombea Ubunge Chato wa CHADEMA Massai, yadaiwa kuchomwa moto na kubomolewa

    Polisi wa Tanzania utasikia wakisema kachoma mwenyewe au Chadema walichoma hiyo nyumba ili kutafuta kiki ngoja tusubiri tuone.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yafafanua Timu za Kampeni baada ya Tundu Lissu kuhoji ushiriki wa Kassim Majaliwa katika kuzunguka nchi nzima

    Japo mengi mnakosa kuelewa hadi hapo unashindwa kuelewa? Je majaliwa ni mgombea ubunge nani amemruhusu azunguke majimbo ya wenzake ?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

    Mwaka 1979 bendera za chadema zilikuepo?
  9. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Kazusha watu kutokuajiriwa,kazusha watu kutekwa ,kazusha watu kupigwa risasi mchana kweupe ,kazusha kauli za dhihaka kwa waliopatwa na majanga ya asili ,kazusha viongozi wa serikali kujimilikisha ardhi ya wananchi, pia kazusha wizi uliofanyika kuwauzia vitambulisho wamachinga bila risiti tuna...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Haki ya kikatiba ni sawa na Uhuru wa vyombo vya habari ,Uhuru wa watu kutoa maoni yao,yote tumepokonywa tuna jambo letu 28 October
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

    Wezi wakubwa nyie tushawajua
  12. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema anatakiwa kupongezwa kwa kumkaribisha mgombea wa CCM apige kampeni kwenye jukwaa la CHADEMA

    Arusha hakuna wasukuma ko gambo anajila bure
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wabunge tarajiwa ACT-Wazalendo inawabeba dhidi ya CHADEMA Bungeni, kama Zitto akishinda Ubunge kuwa KUB

    KUB atakuwa kassim majaliwa au Ndugai maana nchi inachukuliwa na chadema
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

    La wanafunzi waliotoka mashulen
Back
Top Bottom