Recent content by pythogras

  1. P

    JamiiForums Tanzania hivi bord ya mikopo inataka wanachuo waandamane kwanza ndio watoe boom?

    Polen wanavyuo ambao hamjapata pesa!!kwa kwel inauma na inasikitisha saana.naomba ifahamike kwamba hata ubane matumiz kvp,pesa ya boom haiwez kaa wik12!!lkn tujifunze cha kujidaia ni kura zetu2
  2. P

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 23 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge kwa sura ya 1 & 6

    Hao wanaccm waache upotoshaj. ..na wanaounga mkono mawazo ya watu weng ni mawazo yap hayo?ya watu400 au ya watu zaid ya 400000?na hyo anaye tangaza kwenda mstun anamtishia nan?lkn tusimlaum kwan sifa za wanajesh zinafahamika zikiwemo kama hz ujinga,wanajesh wanataka watu wenye uelewa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

    Wee unaeongelea mambo ya ukolon wakat miaka50 sasa hko hru!hyo rais atakumbukwa kwa kumwaga dam ya watu wasio na hatia mfano arusha,mwangos nk
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    S3 ndo mambo yote
  5. P

    JamiiForums Tanzania Jumatano maandano makubwa zanzibar nzima yakiongozwa na makamanda wa ukawa

    Nan hyo anaeweka rang ya kijan humu ndan? Au ndo walewale wenye akil ndogo na wachaw wa maendeleo?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Jumatano maandano makubwa zanzibar nzima yakiongozwa na makamanda wa ukawa

    Makamanda tabora tumewasbr kwa ham sana make hao mafsad mkiwalegezea kamba itatengenezwa katba yao na siyo ya waTanzania
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ukawa umeundwa na watu walioshindwa

    Wee jamaa ----- kwel,nahs na ww bado una tongo tongo machon zinazostahil kuoshwa kwa sabun yenye magad makal il upate kuona walau hata kdogo!na unastahl kuktana na watu wenye upeo wa mambo hil wakueleze ukwel wa mambo kuhus hii nchi!acha kukarirshwa na kutuletea mambo ya ccm hum ndan!kiukwel...
  8. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA kukutana na waandishi wa habari saa 8:00 mchana huu Zanzibar

    We kabind u hv fixed mind ma broo/ccta heb jarb kushrkisha akil kwa kla unalofkiria!utakua bado una tongo tongo machon zinazohitaj kuoshwa kwa sabu yenye magad makal walau upate kuona hata kigodo...(open up ur mind friend)
  9. P

    JamiiForums Tanzania Polisi wazuia mkutano wa UKAWA Zanzibar

    Yasin,congratulation!u'r great thinker
  10. P

    JamiiForums Tanzania Swali! Hivi huu mchakato wa katiba mpya ukivunjika nani atanufaika kati ya CCM na UKAWA?

    Kaka naomba ifahamike kuwa katba ndo muhmil wa nchi,katba ndo baba mwenye ndev!kwa kuwa inafahamika kuwa mawazo ya wanaccm hayashrikian na akir,wanaweza ruhus mchakato uendelee kwan wao wanajal masrai ya chama na wafuas wa chama!kwa maana hyo wao malengo yao yatafanikiwa lkn wananch ndo 2takao...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete kwa maranyingine tena na serikali tatu.

    Rais we2 tusimlaum cz hajitambui!pind walioba anakabidhi mawazo ya wananch alopongezwa kuwa amefanya kaz nzr lkn baada ya kutaamak kuwa matakwa ya wananch hayamatch na interest zake na wafuas wake pia ndo akaibuka na hoja za uongo il kukidh matakwa yake na ya wafuas wake (ni maskitko makibwa sana)
Back
Top Bottom