Recent content by Py Darixy

  1. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania Walimu wa sekondari wanatafutwa, wa masomo ya Hisabati na Sayansi Biology, physics na Chemistry (Part time)

    Mwlm wa biology na chemistry ila nipo Arusha.
  2. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania Ijue nyota yako: Fahamu mengi kuhusu nyota yako

    Kwa fano mm nimezaliwa tarehe 10 mwezi wa kumi na moja mwaka 1996. Nyota yangu itakuwa ni ipi?
  3. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kusubiri post za ajira za TAMISEMI

    Inauma kinouma Biology chemistry zimekuwa kama history soko gumu. Nimekata tamaa ase.
  4. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwa ungetumia alama moja ya kuuliza ungekosa nn kuliko kutumiaa nyingii kama hv ????? Ndo mana kuna mtu haelewii huku
  5. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hallo use one question mark ? Ndo nini
  6. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Siwasapotii matagaa. ... Hiyo amani huku kwetu kwa Sasa haipo... Tuache nyimbo za Aman kukudanganya wakat hakuna Aman.... Hiyo ndo ilikuwa maana yangu na Wala sio kuwasapoti matagaa
  7. Py Darixy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

    Labda siku hizi kuna maana nyingine ya democracy....nje na hapo hakuna democracy ww ndo hujielewi unaongea tu
Back
Top Bottom