Recent content by pweza mtam

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yapo mapenzi ya dhati

    mule mule!
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka tuachane, kisa simridhishi

    ulikuwa unasinzia wakati unaandika au lugha inakupiga chenga unatakiwa utafute mwl wa k.k.k akufundishe upya
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ambazo hutakaa umwambie mkeo-part 1

    sitakuja kumwambie siku niliyo mdoji saa saba usiku na kwenda kwa mchepuko wangu
  4. P

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    biharamulo network yenu inazingua hadi leo password ya kadi hamna kila siku njoo kesho n shda
  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake?

    Mmmh nzur nimeipenda.
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana ananiacha njia panda

    hy nzuri acha nifanye hvy
  7. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana ananiacha njia panda

    mkuu nimekusoma japo sy rahs ki hvy ila pamoja.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Majina feki ya wasichana wa Dar

    umesahau moja "cheichei"
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu msichana ananiacha njia panda

    Habari wadau, Naombeni ushauri. Kuna demu mmoja nampenda sana ila tangu tuwe kwenye mahusiano, ni muda sasa. Mpenzi wangu huyu simuelewi coz muda mwingne nampigia simu hapokei, nikimuuliza ananiambia hamna kitu kawaida tu. Na kinachoniumiza zaidi ni kwamba nikitaka kukutana nae anakata simu...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yana raha yake jamani !!

    mmmh jamaa hadi udenda!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nimpende nani sasa?

    tehtehteh ni shiiiiida!fuata moyo wako.
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

    kiukwel unashida shd mpaka unatafuta huy wa pili inamaana wa kwanz ana "kupwelepweta" na upendo nae hakuna so endelea kutumika tu watu wapunguze 'vipururu'
  13. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana lakini nikaamua kumpa sumu

    mmmmh kweli dunia inaelekea ukingoni hadi mbwa shoga!!!
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    wanawake wengi wa siku hz hawajui kuridhisha wanaume ndo maana michepuko iko mingi
Back
Top Bottom