Recent content by pwaguzo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

    Tanta lala laaa La la la la laaaa Mmmmmh.... Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina hanitaki hata Talee Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamuu Leo maadui zangu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Salam zenu Tigo

    Pole sana ndugu kwa usumbufu ulioupata. Ila pale Shekilango ni ofisi ya mauzo. Huduma kwa wateja inatolewa tu kwa baadhi ya huduma, huduma zingine unatakiwa uende ofisi za huduma kwa wateja kama Manzese, Mliman City na ofisi zingine kama hizo. Karibu tena na tuendelee kuwa pamoja kwenye mtandao...
  3. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

    Mungu yu pamoja nasi... Na kwa taarifa tu ya magamba, ubunge wamechukua sehemu kubwa, ila urais tayali upo UKAWA kwa bara na visiwani.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mmmmmh mkuu nakuja hapo. Mm nipp hapa namanga, asbh niliamkia kwenye Tegeta nyuki kuna issue nlikuwa naifatilia. Wacha nije nipige kura na nilinde kura
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Watanzania wameshaamua, kura yao ni kwa lowassa. Hata mseme nini hatuwez kuacha kumchagua Lowassa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa anaendelea kujaza Mafuriko

    Acha kupotosha ww. Mbowe aloposimama alisema,anakiuka itifaki na wanamkaribisha mgombea Lowassa ili aongee na watanzania na dunia maana matangazo yalikuwa yanarushwa live, na makubaliano ya UKAWA na vyombo vya habari ni kurusha matangazo ya moja kwa moja hadi saa10:00 jion. Ndio maana ilipofika...
  8. P

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kila uchaguzi unapoteza kura yako, hujachelewa badili maamuzi leo mpe Magufuli kesho

    Kura yangu na familia yangu ni kwa Lowassa. Na kesho ndio mtajua nguvu ya uma ipoje
  9. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

    Naona mwajitekenya wenyewe
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Didas Masaburi njia nyeupe Bungeni

    Jimbo la Kubenea hilo ww
  11. P

    JamiiForums Tanzania CCM nambari wani

    Siwezi kubadili maamuzi yangu ya j2 kumpigia kura lowassa. Nimefunga kwa ajili yake na naomba mungu usiku na mchana ili lowassa ashinde. Mazingira ninayoishi, kibaruan na sehem kubwa ya wanaonizinguka wako upande wa pili. Mm2 ndio namshabikia lowassa Mungu baba naomba simama upande wangu na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Huu umoja si afya njema kwa CCM hata kidogo kuelekea Uchaguzi mkuu

    , Aminaaaaaaaaaa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Huu umoja si afya njema kwa CCM hata kidogo kuelekea Uchaguzi mkuu

    Lowassa ndio mpango wa mungu. Alipangalo mungu hakuna binadam wa kupinga
  14. P

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jangwani, Dar: Mkutano wa kuhitimisha Kampeni za mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli

    Kura yangu ni kwa lowassa. Siwez badili maamuzi
  15. P

    JamiiForums Tanzania Hapa Kazi Tu, Majungu yapo UKAWA

    Hapa lowassa ndo rais wa tz
Back
Top Bottom