Hapa Kazi Tu, Majungu yapo UKAWA

Hapa Kazi Tu, Majungu yapo UKAWA

Kwedu Kwazu

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
504
Reaction score
71
12032692_121996288158752_8993435008669646734_o.jpg
 
ccm ndio habari ya mjini. Magufuli ndio habari ya ikulu.
 
Acheni upompompo nyie sisiemu. Kazi bila elimu?
ccm inataka watz wawenakiwango hiki hiki cha elimu ili waendelee kutawala
 
Acheni upompompo nyie sisiemu. Kazi bila elimu?
ccm inataka watz wawenakiwango hiki hiki cha elimu ili waendelee kutawala

Wewe ndo pompoma kweli kwani kazi zote zinahitaji elimu? Huku nikujiendekeza tu.
 
Wewe ndo pompoma kweli kwani kazi zote zinahitaji elimu? Huku nikujiendekeza tu.

Haya kwa kuanzia watz wamepata elimu ya siasa kupitia upinzani. WANATAKA MABADIRIKO Baada ya kuking'oa chama cha majabazi wataanza kupata elimu bure ambayo wamenyimwa na ccm kwa >50 yrs
 
Haya kwa kuanzia watz wamepata elimu ya siasa kupitia upinzani. WANATAKA MABADIRIKO Baada ya kuking'oa chama cha majabazi wataanza kupata elimu bure ambayo wamenyimwa na ccm kwa >50 yrs

Wavivu wa kazi utawajua tu mnapenda bure ni kwambie hakuna cha bure hata biblia inasema Fanya kazi utakula kwa jasho hivyo nakushauri rudi hata bush uko ukalime sio kusubiria bure.
 
Kazi tuuuuuuuuuuuu....
Maigizo na taarabu pelekeni hukoooooo...kwa wana ukawa
 
Back
Top Bottom