Recent content by puzo255

  1. puzo255

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kulihutubia taifa leo saa 3 usiku kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha 2026

    Anakuja kutonesha kidonda.
  2. puzo255

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

    Mpandishe cheo.
  3. puzo255

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Chalamila aliagiza Jeshi La Polisi kuwashughulikia wananchi watakaopinga matokeo ya Uchaguzi ujao wa Serikali Za Mitaa

    “Nataka mfahamu ndugu zangu kuwa tukiishi kwa kutegemea Jeshi la Polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli.” Jakaya Kikwete.
  4. puzo255

    JamiiForums Tanzania Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

    Ungekuwa mfuatiliaji mzuri ungegundua Kifaransa, Kichina, Kireno na Lugha nyingine nyingi tu huwa zinatumika kwenye baadhi ya vipindi. Unless una tatizo na Waarabu.
  5. puzo255

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

    Mwaka 1207 pale Gerezani Kariakoo zilipigwa ngumi kisa kuna ubishi haiwezekani binadamu aliyepo Mzizima na Songea wakawasiliana papo kwa papo na wakaelewana. Ule ugomvi ulikua mkubwa sana.
  6. puzo255

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muonekano wa sayari ya Mars, kama Dunia yetu vile

    Nasikia Etihad na Ethiopia Airline wanafanya ruti za moja kwa moja japo bei ndio kipengele ujipange.
  7. puzo255

    JamiiForums Tanzania Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

    Uzuri mmekiri mapema kundi la Yanga gumu ili atakapoanza kutembeza mkong'oto kelele za anacheza na vibonde zisiwepo.
  8. puzo255

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

    Mnawaamini Wamagharibi?
  9. puzo255

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Mkuu kuokota simu kupo, ila ni vyema ukaiacha hewani ili mwenye nayo akipiga upate kumrudishia. Huu ndio ubinadamu.
  10. puzo255

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Dah umemkosea sana huyo jamaa. Leo nimeconfirm kichwani ni mtupu hadi sio poa.
  11. puzo255

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Dah umemkosea sana huyo jamaa. Leo nimeconfirm kichwani ni mtupu hadi sio poa.
  12. puzo255

    JamiiForums Tanzania Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

    Dah umemkosea sana huyo jamaa. Leo nimeconfirm kichwani ni mtupu hadi sio poa.
  13. puzo255

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere awajia juu Chadema kwa kutotuma rambirambi msiba wa Dida, awauliza " Mnataka afe Nay Wamitego ndio mtoe Pole?"

    Alituma Rambirambi alipouwawa Mohammed Kibao?
  14. puzo255

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera wasema inachofanya Israel sasa haikuwahi fanya before

    Taarifa zimevujia Temeke.
  15. puzo255

    JamiiForums Tanzania Natafuta Disk Ya Desktop TB 4.

    Mzee mbona kama una msongo, nini tatizo?
Back
Top Bottom