Recent content by Puyo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 100 bora wa muda wote watajwa

    Okwi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Charles Mwijage amuomba rais Magufuli radhi kwa kumkwaza, aahidi kufanyia kazi maelekezo yake

    Akufuzae hakwambii toka Mie napita ndugu!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    JamiiForums Tanzania Inawezekana, RC Makonda kafanikiwa bila vyombo vya habari

    Mtoa mada umetumwa?kamwambie aliekutuma ni ziro nawwe niziro
  4. P

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wabunge wa CCM akiwemo Magufuli waliniadhibu kwa kuibua sakata la madini mwaka 2007

    Ccm inakula matapishi yao wenyewe wingi wao mambumbumbu robo tatu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Keissy: Wanaosumbua Bungeni wapimwe madawa ya kulevya

    Huyo kessy anafahamika alimuundia zengwe walikua wanapambana nae wachadema kwenye miradi yake naakaweka upanuzi wabarabara kwenye nyumba zamgombea ambae alikua nimkwewake alioa binti yake barabara gani yakataya KIRANDO nipana kuliko hatayaubungo wakati nikatatu kessy nimshenzi naanaroho ya ndugai
  6. P

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    Huyo spika amesahau alivyopiga mwenzake kwafimbo yule spika muuaji kabisa sawa Nchi niyao pekeyao iposiku
  7. P

    JamiiForums Tanzania Machali: Watu kama Tundu Lissu, Magufuli angeamuru wachapwe bakora

    Huyo machali ana laziyakumpiga baba yake sisi tunamfaham hakumuelewa lisu inawezekana alikua amelewa lakini yeye asubirie ukuu wawilaya hanajipya
  8. P

    JamiiForums Tanzania CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini

    Kama alikua sisehem yamaamuzi angejiuzulu aliogopa nn kujiuzulu?nakama wote bado wapo wanasheria wakuu mawaziri wakuu wastaafu maraisi wastaafu kumtoa mzee mwinyi kwann wasiwajibike? Mimi nasema kwawingi wao wandio wale uchafu wao sioni jipya ccm niileile hata aje malaika mikataba waliingia...
  9. P

    JamiiForums Tanzania CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini

    Mtoa Uzi lakini na raisi sialikuemo kwenye baraza lamawaziri kwamiaka20?yeye nawenzake hawakukaa vikao?wanakula matapishi yao wote hakuna cha ccm A wala ccm B sioni jipya majibu 2020
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kama Dar es Salaam hawamtaki Paul Makonda, basi ahamishiwe Kigoma

    Asisubutu kigoma hawapelekwi pelekwi aende geita
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kujiunga rasmi na CCM

    Kamuulize bashite atakuelekeza
  12. P

    JamiiForums Tanzania Maisha halisi ya Watanzania waishio hapa Afrika Kusini

    Maisha nipopote changa karata zako vizuri utafanikiwa hata euro kunawatu wamechoka Mimi tabaki bongo ili mradi mambo yangu yaugari kwamaharage poa lakini kuna siku nakula nyama
Back
Top Bottom