Tumatatu after pasaka nasafiri Dar - Iringa - Njombe after 4 Its 4 days trip
Mwenye anaekwenda huo elekeo ani DM maana na Drive peke yangu nisiwe mnyonge nipate wa kutia nae story
Tonsils zinaniletea tabu sana wacha nikirudi mjini niende hapo ENT nitaleta mrejesho mazee
Btw Asante kwa Ramani mzee baba @mazigazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha nami nilete yangu kidogo
Katika Harakazi za ajira yangu huwa tunasafiri sana hata kwa sasa nipo mkoani napambana na Sites.
Sasa mwaka juzi (2018) Mwezi wa Tisa nilikuwa na sites za arusha nilipata guest maeneo ya Shivaz inaitwa Deluxe ila baadae wana walikuja kunijoin wao walipata Sakina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.