mtoa habari, habari imetufikia lakini si kama ulivyotaka.
ALIKIBA NA GIGGY MAHABA MOTOMOTO, bila ya uthibitisho wa wahusika hata wa picha tu, huo ni unafiki na hautakufikisha popote
Majina ya cheti cha kuzaliwa ni Emmanuel Hilary, kwa sasa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, chuo kikuu cha Dar-es-salaam katika fani ya udaktari.
Nina ndoto ya kuwa mjasiliamali pia, ni mwanajamvi mpya hivyo naomba mnipokee na kunipa ushirikiano mimi mdogo wenu. Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.