Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini.
Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze...
Kusanya doc za matibabu nenda omba kukutana na Katibu mkuu au Naibu wake utakuwa umemaliza.Ukishindwa kwa hao tenga Bajeti mwezi tu inasomeka kwenye mfumo ameshahama.Zingatia Neno Bajeti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.