Recent content by pumzihaiuzwi

  1. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Maandalizi makubwa sana nchini Norway yamefanyika kumpokea mheshiwa Rais wa Tanzania katika jumba la kifalme la ikulu ya Norway na bendera yetu inapepea kuanzia mitaani mpaka ikulu Piga kazi mama tutafutie connections huko nje.
  2. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

    Wingu jeusi limefunika nchi tuombee nchi yetu tuombee wenye mamlaka wanao tuongoza
  3. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na matapeli leo asubuhi

    Unabahati sana hapo mbele kwa dereva ulipo kaa mtu wa nyuma ange kufunika leso puani kwishaa habari yako usichezee moto eti watu huwajui unapanda gari Yao nahisi kunavitu umeficha mkuu mwisho wa story mara umekaa na Babu mwanzo umekaa na dereva mkashuka namashaka na ulipoishia aisee pole mkuu...
  4. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

    Karma is a bitch
  5. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema: Watanzania tulirogwa na nani?

    Bongo nyoso
  6. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Mtume na nabii achezea kichapo Afrika Kusini kutoka kwa waumini wake

    Acha wapigwe bado wale wakawe kulishwa nguo
  7. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

    Wana hakikisha Hawa ma black wenye Hela wote wamepotea yamemkuta ya Robert Kelly wataibuka msululu wa wasichana kumtuhumu mwisho wake atapigwa mvua za mawe kama Kelly
  8. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo ni nani na amefuata nini Tanzania?

    Anakazi maalum, hupaswi kujua.
  9. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Huyu DED wa Geita TC, Zahra Michuzi ni Mtoto wa Issa Michuzi aliyekuwa Mpiga picha wa Ikulu?

    Kazamia china anatafutwa na DED
  10. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Ambwene Mwasonge amefanikiwa kupata mtoto wa kike

    Mungu hawahi Wala hachelewi hatimaye Mzee wa siku amemkumbuka Ambwene.
  11. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

    Ila CCM kuna maisha aisee uyu dingi sio mjinga kuwa chawa anacho angalia yake yanamuendea sio shida zake.
  12. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Isssue ya Diamond ni Miguu tu

    Kajamaa kanazidi kupukutika sembe sio Dona.
  13. pumzihaiuzwi

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

    Msamehe Bure mkuu kazoea mambo ya sura kitabu.
Back
Top Bottom