Kwani wewe yule jamaa yako hadi unafikia hatua ya kujiachia na hatimaye kukuzalisha mtoto na kukutelekeza...hukuwa king'ang'anizi? Sijajua mwanamke unapowaponda wanawake wenzako eti...kwanini wanakuwa ving'ang'anizi ..at last wanaolewa...wakati nawe pia hiyo ndoa unaitamani sana sema ndo...
Kuwa makini sana kijana, na wala usijipe mia kwa mia...ipo siku utakuja hapa jamvini huku kichwa cha chini kimesha fanyiwa hohara ya mara ya pili. Be careful! wanasema mke wa mtu ni sumu....shauri yako!
Hata kama hutopenda sana lakini watatokea watakao kupenda sana na hivyo utashawishika nawe kupenda baadae utaongeza na sana then ikawa kupenda sana...!
Ushauri: Kwa dunia ya sasa ni vigumu sana kuwa na mwanaume wa kwako peke yako....Hii ni kanuni au kwa kidhungu ni Formula ambayo ina exist kwa...
Mkuu,
Naona umeandika kwa jazba sana kuhusu suala la bwana Mkali. Ni kweli lazima tukiri wazi kuwa kuna mambo mbwana mkali hajafanya vizuri lakini kuna mambo amejitahidi sana. Lakini suala lake kuna giza nene ambalo mimi na wewe hatulijui ila kuna jambo zito lipo nyuma ya pazia.
Labda...
Kwanza amshukuru Mungu kwa kumuepusha na Makato ya mshahara wake. Hivi kwa mshahara wa ualimu ...ukipokea cash bila makato ya mkopo...unakuta mwalimu akifika tarehe 10 tu hata senti tano mfukoni hana, sasa unapolaumu unacheleweshewa mkopo...si majanga hayo??
Walimu lazima mjitambue....ni vema...
Mawazo yako ya kusoma Diploma ya Ualimu ni mazuri . Lakini kama una alama za kukufanya u-apply vyuo vikuu ni bora ukafanya hivyo. Huu ni ushauri wabureee ambao huitaji kulipa pesa.
Kwa sasa vyuo vya Ualimu vinatoa Diploma ya Ualimu kwa Muda wa miaka 3....hii ni kwa level zote...iwe Ualimu wa...
Kwa uzoefu wangu naona unaweza ukachaguliwa kwenda A-Level kwa shule ya Serikali kama ndoto yako ilivyo. Nasema hivyo kwa sababu una possible three combinations: 1. HKL (B,B,B); 2. HGL (B,C,B) : 3. HGK (B,C,B).
Lakini pia uwe tayari kwa second selection kwa sababu matokeo haya yapo kisiasa...
Mkuu Tanzania ni nchi ya aina yake. Watu wengi waliopo madarakani ni wachumia tumbo....Kuanzia Rais hadi mtendaji wa mtaa/kijiji. Hakuna mzalendo...kila mmoja anatafuta kushiba, hivyo sio rahisi kama unavyofikiria ili kendesha shirika la ndege. Inasikitisha sana kuona Waziri mwenye dhamana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.