Anaandika Mange kimambi kwenye ukurasa wake wa twitter
“Mwigulu Nchemba mliwageuka Watanganyika wenzenu kwa tamaa za utajiri na madaraka, mlidhani nyinyi ni Wazanzibary????
Hii movie ndo kwanza imeanza.
Mwigulu ulisimama hadharani na kusema kuwa Watanganyika walioandamana kudai haki kwenye...
Kuna asilimia kubwa sana ya Muungano kuvunjika baada ya Tanzania kuvuka kipindi hichi kigumu…ila pia kuna kila dalili ya Samia kupanga safu mpya na kutumia kila njia ili kuhalalisha kushika madaraka tena baada 2030, kwasasa ni anasafisha njia…ameshaingiwa na uoga wa kutoka madarakani 2030, ni...
Akina PolePole, mauaji ya MO29, kuwekwa Jela Tundu Lisu na mengine mengi ni mambo ya kawaida kutokea kwa nchi yoyote ile inayotafuta mageuzi au mabadiliko kwa ustawi wajamii…Sio rahisi nchi kupata mabadiliko au mageuzi kwa njia ya amani, lazima damu za watu zimwagike…imetokea South Afrika...
Kuna muda nafurahi MAMA YENU kuwa madarakani maana kuna wale matomaso ndani na nje ya CCM walifikiri katiba mpya sio kipao mbele au kitu cha ulazima. Pia wengine walikuwa wanasikia kuwa kuna wana mtandao akina kikwete ni cancer ya taifa hili.
Uyu mama amekuja kuweka mambo uchi kabisa, uko mbele...
Tanzania imemilikisha au kuuza hifadhi za gesi kwa mashirika au kampuni za nje na haina umiliki wa asilimia zozote badala yake wamegewa haki ya kushiriki kupitia TPDC ila hawana umiliki, na baadhi ya visima/hifadhi wameficha taarifa za umiliki, ni huzuni sana.
Visima au hifadhi...
Wanakutisha tu hao usiwasikilize…sitaki kuongea sana maana ninaficha identity yangu…we nenda kasome Japan au Korea…mwaka wa kusoma lugha ni kawaida na unafundishwa from basics, na ma lecture wengi wanamix lugha…
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.