Recent content by pulamu

  1. pulamu

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Ili jipu lipone nilazima usaa utumbuliwe haijalishi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. pulamu

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Vip pesa ya makinikia ipo Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
  3. pulamu

    Lissu: Nimeambiwa na 'Kubwa la Polisi' tujiandae Lowassa kupelekwa mahakamani kwa uchochezi

    Daaaah Kweli elimu, elimu, elimu,,hivi kweli unamuhusisha YESU, na machafu yote yaliyofanywa na ccm,,, Kwanza Lowasa kajitenga na kundi la waovu, Hatakama ni fisadi bado anaendelea? hivi huo ufisadi wa Lowasa Uko wapi kwanini asipelekwe mahakamani mnaishia kasema tuu,, mmeshindwa makinikia...
  4. pulamu

    Ruvuma: Dr. Vincent Mashinji na Viongozi 8 wa CHADEMA Waachiliwa huru, Yadaiwa Walikamatwa kimakosa

    Daaah hivi kwanini watawala hujisahau kiasi kikubwa namna hii,,, kila kitu kinamwisho wake wafike Mahala wamuombe Mungu awafunulie kama wanayo tenda ni Sahihi Post sent using JamiiForums mobile app
  5. pulamu

    Lowassa kutangaza kuhamia CHADEMA Julai 26, Mwembeyanga ambako Dr. Slaa alimtangaza kuwa Fisadi Papa

    Fikra za Mtazamo wako ndogo Mtoa post Kwani Lowasa kaondoka Kwenye kundi la wahalifu,, na yupo Kwenye kundi lamashambulizi,,, huo ufisadi bado anaendelea nao? Kama vipi mpelekeni mahakamani,,, wapi makinikia, wapi masamaki,, wapi escrow,,, wapi vyeti feki vimetazamwa wizara na sector zote...
  6. pulamu

    Siku mbili za Halima Mdee rumande Oysterbay

    Ukweli utabaki Ukweli dhulma zote zakuhujumu haki ya kikatiba hazitawaaacha hatasiku moja,, uhuru wa habari,,, daaaah
  7. pulamu

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Hivi Uko timamu sidhani Kama kuna shule hapo,,, kwa kijana,,,,, I daaaaaaah [emoji48]
  8. pulamu

    Bunge latoa nafasi moja tu ya kuchangia kwa Wabunge katika miswada mpya ya madini

    [emoji83] nini maana ya upinzani najua huwezi kujua kwakua hujui.
  9. pulamu

    Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

    Ishu ni tabia,,, pesa siyo shida,,,, je anaweza kuishi kinda?
  10. pulamu

    Edward Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu uchochezi, aachiliwa kwa Dhamana

    Ningumu mtu aliye kwenye system kujua matatizo ya nje
  11. pulamu

    Wapinzani wamuumiza Spika wa Bunge

    Rais Magufuli alipata kura milioni 6 upinzani walipata kura milioni 4,,,,milioni 6zimepatikana kwa rushwa fitna hadi kutumia vikosi vya ulinzi,,, milioni4,,, nikwaamani kutoka moyoni,,, sasa,,,, Watanzania wameelimika wanajua ujinga Wote,, vile vile wanaona ubaguzi uliopo bungeni,,, Mr too...
  12. pulamu

    Hahaha, wemaa...!!!!

    Watanzania wameelimika,, hawadanganywi kwa ujinga huo
  13. pulamu

    Lijuakali: Ndege moja tayari hairuki ni mbovu sababu ya one man show

    Shule,,, shule,,, shule shule shule uhuru wa kutoa maoni,,, ndicho tulicho mtuma bungeni,, akifukuzwa wewe unatetemeka na nini?
Back
Top Bottom