Recent content by puge halisi

  1. P

    JamiiForums Tanzania TCRA yawaonya TBC1 kwa upendeleo na kukiuka sheria

    Watoto wa baba mmoja.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Sahara Media na Star Tv, kunani pale?

    Ilikuwa majira ya saa 5 na na nusu nikitaraji kupata yanayojiri huko dodoma ghafla namuona braza k na futuhi yake, Mbona wenzenu wanaweza?
  3. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni kundi La Nzige

    Nchi hii inafurahisha sana mara ccm cdm nccr mbona hamuongelei mambo ya msingi ambayo wananchi tunahitaji?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya DSTV Bei Juu Kuanzia Julai Mosi, 2015

    Nitaendelea kutumia cable milele maana huku pia kinachopatkana dstv kipo.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa Mkenya

    Yaani wewe boya kuliko wete humu jf.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Joseph Msukuma ni nani?

    Joseph Msukuma ni kichaka cha magufuli huku kwetu chato na ni jirani yangu pia.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wadau nisaidieni maana ya maneno haya (Alam sick)

    Huyu nae hahahahahahaaaaa
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikivaa kinga (Kondomu) wakati wa kufanya mapenzi sifiki kileleni

    Chief JJ mbona mimi nina mkono wa sweta na mambo safi tu! Huyu jamaa yetu anatatizo aisee.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hii ndo siri ya taarifa ya TV zote kulazimishwa kujiunga TBC saa mbili jioni

    Mtoa post yawezekana anaishi ikulu ametawaliwa na rangi za kijani.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

    Inawezekana Ikawa Kweli Mbowe Kaona Mbali Lakini Ni Kweli Lowasa Dhaifu?
Back
Top Bottom