Recent content by PSM

  1. P

    JamiiForums Tanzania Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

    Uuuuuuuh na mimba zenye walakini watoto wakizaliwa huwa wanaumbua wajameni....ngoja amzae atoke copyright ya Mtume na nabii.....wa uongo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ezden apata mpenzi UK

    Dogo karuka mk o o Jo kakanyaga ma.....v....i
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mama Salma Kikwete: Ni mke au mtendaji wa Serikali?

    Jamani alisema alimuwakilisha mume wake au kosa lake kusema Raisi...basi angesema tu mume wake watu msingehoji ila ukweli unabakia mume wake ni Raisi.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Mimi nashaangaa sana hivi yupo kweli aliyemsafi kwenye iyo system yao.....ilo la uchafu na ufisadi wa Lowassa ni kazi bure maana wote wachafu hata huyo sijui joka la mdimu sijui nani....
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

    Ama kweli dunia inazunguka huyu nae sahiz anamtaja taja Mungu......
  6. P

    JamiiForums Tanzania Alichoandika Masanja Mkandamizaji kuhusu Diamond na Wema

    Pastor my foot!
  7. P

    JamiiForums Tanzania Afukuzwa Dubai sababu vyuma vya uso

    Kubwa jinga,linatisha bora wasiopenda ujinga wamelitimulia mbali,hovyo....
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Serikali (Werema) na Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

    Sophy hongera zake .....maana werema anajiona mungu mtu...kauli zake ni za ajabu ajabu tu,yeye mwenyewe mbona kilaza tu..
  9. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Ama kweli leo Kibonde kabondeka!ujanja na ujuaji wote kwisha...the guy thought he was above the law.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mwenye picha ya huyu mzee mwizi watuleetee humu

    Ningekuwepo ningemnunulia dozen ingine ya iyo dawa na iyo ningeilipia....I feel bad.... For him to steal iyo dawa he has a big problem with money...mbu zinamla sana huko kwake masikini mwe....I don't even see it funny mpaka watu mnadai pic Yake tuhurumiane jamani kwenye haya maisha hatufanani...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ujue umihimu mkubwa wa kupima upepo wa tairi za gari lako

    Senki yu vere machi
  12. P

    JamiiForums Tanzania ATM kadi yake ilimezwa na Mashine, kesho yake kakuta pesa yote imekombwa, afanyaje?

    Wifi Yake kampiga changa la macho huyo....
  13. P

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mpaka rangi kucha

    Uuuuuuh jamani jamani wewe kidume kwahiyo unamuogopa kumuonya Mkeo kwanza Hadi unakuja humu jamani.....
  14. P

    JamiiForums Tanzania Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

    Nahisi kuna mtu anakwenda kuumizwa zaidi sasa....sijui kwanini nahisi Haya mapatano yana walakini...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bunge limuadhibu Naibu Waziri Massele

    Wamuadhibu kwa lipi wakati walimtuma wenyewe aseme vile....hivi nyinyi mnafikiria kwa kuongea vile Masele aliamua mwenyewe...katumwa na hao hao wakubwa zake,chezea CCM weye.....kuna kazi hapo, Yule kafanywa kafara tu Kama hujui.
Back
Top Bottom