Bunge limuadhibu Naibu Waziri Massele

Bunge limuadhibu Naibu Waziri Massele

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Posts
38,100
Reaction score
72,365
..serikali kupitia kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje imeeleza kwamba imefanya uchunguzi na kubaini kwamba madai aliyoyatoa Naibu Waziri Massele dhidi ya Balozi wa Uingereza yalikuwa si ya kweli.

..Naibu Waziri Massele alitoa madai hayo yaliyobainika kuwa siyo ya kweli ktk kikao cha bunge. sheria za bunge zinaelekeza kuhusu adhabu ya kutolewa iwapo Mbunge atabainika kuwa alilipotosha bunge, kama alivyofanya Naibu Waziri Massele.

..Naibu Waziri Massele ameliabisha bunge letu, serikali, chama chake, pamoja na wa-Tanzania ktk ujumla wetu.

..nadhani bunge letu linapaswa kutoa adhabu kali ya Kibunge kwa Naibu Waziri Massele ili iwe fundisho kwa wabunge wengine wajiepushe na tabia ya kutoa kauli ambazo hawajazifanyia utafiti.

cc Ritz, chama, Tumaini Makene, Pasco, Nguruvi3, Mchambuzi, Mdondoaji
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kabisa , unajua bhana unapofanya uongo ukiwa kijana basi tutarajie madudu zaidi ukizeeka , kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema ndugu masele apigwe chini .
 
..serikali kupitia kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje imeeleza kwamba imefanya uchunguzi na kubaini kwamba madai aliyoyatoa Naibu Waziri Massele dhidi ya Balozi wa Uingereza yalikuwa si ya kweli.

..Naibu Waziri Massele alitoa madai hayo yaliyobainika kuwa siyo ya kweli ktk kikao cha bunge. sheria za bunge zinaelekeza kuhusu adhabu ya kutolewa iwapo Mbunge atabainika kuwa alilipotosha bunge, kama alivyofanya Naibu Waziri Massele.

..Naibu Waziri Massele ameliabisha bunge letu, serikali, chama chake, pamoja na wa-Tanzania ktk ujumla wetu.

..nadhani bunge letu linapaswa kutoa adhabu kali ya Kibunge kwa Naibu Waziri Massele ili iwe fundisho kwa wabunge wengine wajiepushe na tabia ya kutoa kauli ambazo hawajazifanyia utafiti.

cc Ritz, chama, Tumaini Makene, Pasco, Nguruvi3, Mchambuzi, Mdondoaji
Ma ccm yote ni maongo sana mkuu, pia madhaifu sana,

Uongo ni sera ya chama chao...

Waziri mkuu nae vipi apatiwa adhabu kwa kulidanganya bunge?

Mpaka mkuu wa nchi nae ni muongo.

Ikianza kwa masele nani atanusurika?
 
Last edited by a moderator:
I wish, lakini alianza nani huyu afuatie???!!!!
Kuwajibishana????!!!!
 
Wamuadhibu kwa lipi wakati walimtuma wenyewe aseme vile....hivi nyinyi mnafikiria kwa kuongea vile Masele aliamua mwenyewe...katumwa na hao hao wakubwa zake,chezea CCM weye.....kuna kazi hapo, Yule kafanywa kafara tu Kama hujui.
 
tehe tehe tehe! aliingizwa mjini jk!
 
..serikali kupitia kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje imeeleza kwamba imefanya uchunguzi na kubaini kwamba madai aliyoyatoa Naibu Waziri Massele dhidi ya Balozi wa Uingereza yalikuwa si ya kweli.

..Naibu Waziri Massele alitoa madai hayo yaliyobainika kuwa siyo ya kweli ktk kikao cha bunge. sheria za bunge zinaelekeza kuhusu adhabu ya kutolewa iwapo Mbunge atabainika kuwa alilipotosha bunge, kama alivyofanya Naibu Waziri Massele.

..Naibu Waziri Massele ameliabisha bunge letu, serikali, chama chake, pamoja na wa-Tanzania ktk ujumla wetu.

..nadhani bunge letu linapaswa kutoa adhabu kali ya Kibunge kwa Naibu Waziri Massele ili iwe fundisho kwa wabunge wengine wajiepushe na tabia ya kutoa kauli ambazo hawajazifanyia utafiti.
Nadhani adhabu ya bunge itakuwa kumfungia. Ningeshauri bunge lisimame kidete kumtaka Rais amwajibishe.

Katika nchi za wenzetu suala hili lingekuwa tatizo katika ofisi ya Rais.
Rais ndiye aliyemteua naibu waziri Masele kwa uwezo aliopewa na katiba.
Waziri husika amshauri Rais kumuondoa naibu wake aliyemdhalilisha waziri, Rais, serikali na nchi nzima.

Kinyume chake tutaamini alitumwa na serikali. Hili ni suala la Kikwete kulinda taswira na mahusiano ya taifa.

Limetokea la Lukuvi Rais akakaa pembeni. Kwa hili nadhani kuna umuhimu wa Rais kubebeshwa mzigo huu kama hataki kuonyesha kukasirishwa kwa kumwajibisha naibu waziri wake.

Tukitumia bunge katika suala lililopo katika mkondo wa kidiplomasia, hakika nguvu yake itakuwa ndogo.
Tunaweza kutumia bunge kama ushahidi wa mahali aliposemea, lakini mwisho wa siku ni suala la Ofisi ya Rais
Hili ni la Rais Kikwete, ''the buck stops with Mr President''
 
Hakuna kitu hapo! Nchi hii haiendi kwa kanuni bali blabla na uswahili ule wa upepo utapita tuu. Hakika heshima ya utawala wa nchi hii imeshuka sana nje ya nchi ila tunapakwapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kwa vile tuna utajiri ambao wanaweza kunufaika.
Hakika kama tungekuwa wakavu wa rasilimali nchi nyingi zingeondoa hata mabalozi wake hapa
 
umeandika kisomi sana !
 
Naona hamuelewei Masele amesema kweli basi tu masuala ya Kidiplomasia wanaona vibaya kumtimua huyo mama wa Uingereza ingekuwa nchi ndogo ya Afrika lazima angefukuzwa kama mtakumbuka kwenye miaka ya tisini alitimuliwa haraka balozi wa Uingereza kutokana na kuingilia mambo ya ndani ya nchi. kwa kuwa hamuujui undani wa huyu mama ndiyo maana mnadhani Masele amekosea. huyu mama ni jasusi fuatilieni undani wake kwa ku google mtamjua ni wa aina gani? Masele ni shujaa anastahili tuzo kabisa kwani ameweza kujitoa na kusema ukweli kwani hamjui kwamba mabalozi wengi wa nchi kuvwa kubwa wamekuwa wakiingilia sana mambo ya ndani ya nchi yetu. vile vile huyu mama alikuwa analilia hizo fedha za ESCROW zilipwe kwa Standard Chartered kwani ni Benki ya Kiingereza ndiyo maana alikuwa anapigania kwa namna yoyote ile. tatizo sisi Watanzania ni wepesi kudanganywa na tuna kasumba na kuheshimu wazungu hata kama wamekosea sisi tunaona wazungu wanatupenda, wanaaakilli kwa kuongea lugha yao ya Kiingereza, tunawaona wanasafi kupindukia.

tunahitaji vijana wasioogopa kama akina Masele!
 
Mawaziri wa Tanzania hawana maadili,kila anapojiskia anafanya lolote.Afadhali wampe wizara hiyo huyu Mzee wa msituni.
 
Attachments

  • 1403505893429.jpg
    1403505893429.jpg
    56.1 KB · Views: 106
..serikali kupitia kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje imeeleza kwamba imefanya uchunguzi na kubaini kwamba madai aliyoyatoa Naibu Waziri Massele dhidi ya Balozi wa Uingereza yalikuwa si ya kweli.

..Naibu Waziri Massele alitoa madai hayo yaliyobainika kuwa siyo ya kweli ktk kikao cha bunge. sheria za bunge zinaelekeza kuhusu adhabu ya kutolewa iwapo Mbunge atabainika kuwa alilipotosha bunge, kama alivyofanya Naibu Waziri Massele.

..Naibu Waziri Massele ameliabisha bunge letu, serikali, chama chake, pamoja na wa-Tanzania ktk ujumla wetu.

..nadhani bunge letu linapaswa kutoa adhabu kali ya Kibunge kwa Naibu Waziri Massele ili iwe fundisho kwa wabunge wengine wajiepushe na tabia ya kutoa kauli ambazo hawajazifanyia utafiti.

cc Ritz, chama, Tumaini Makene, Pasco, Nguruvi3, Mchambuzi, Mdondoaji

Uko sahihi kabisa lakini kwa udhaifu wa serikali hii uliokithiri sioni uwezekano wa kanuni za bunge kuzingatiwa wala serikali yenyewe kuchukua hatua stahili kwa huyu Massele mropokaji; I cry for my country. The assembly speaker should have stopped Massele there and then na kumuelekeza apeleke tuhuma zake kea Waziri
Membe; lakini sio spika, Pinda wala Membe aliyekuwa tayari kuzuia shambulio hilo la aibu kwa nchi mshirika mkubwa wa maendeleo kama Uingereza!! ni sawa wamefanya adamage control lakini Massele alistahili kufukuzwa kazi ili waropokaji wengine kama Mwandri na Nape wakome.
 
Naona hamuelewei Masele amesema kweli basi tu masuala ya Kidiplomasia wanaona vibaya kumtimua huyo mama wa Uingereza ingekuwa nchi ndogo ya Afrika lazima angefukuzwa kama mtakumbuka kwenye miaka ya tisini alitimuliwa haraka balozi wa Uingereza kutokana na kuingilia mambo ya ndani ya nchi. kwa kuwa hamuujui undani wa huyu mama ndiyo maana mnadhani Masele amekosea. huyu mama ni jasusi fuatilieni undani wake kwa ku google mtamjua ni wa aina gani? Masele ni shujaa anastahili tuzo kabisa kwani ameweza kujitoa na kusema ukweli kwani hamjui kwamba mabalozi wengi wa nchi kuvwa kubwa wamekuwa wakiingilia sana mambo ya ndani ya nchi yetu. vile vile huyu mama alikuwa analilia hizo fedha za ESCROW zilipwe kwa Standard Chartered kwani ni Benki ya Kiingereza ndiyo maana alikuwa anapigania kwa namna yoyote ile. tatizo sisi Watanzania ni wepesi kudanganywa na tuna kasumba na kuheshimu wazungu hata kama wamekosea sisi tunaona wazungu wanatupenda, wanaaakilli kwa kuongea lugha yao ya Kiingereza, tunawaona wanasafi kupindukia.

tunahitaji vijana wasioogopa kama akina Masele!

Asiyeogopa nini?
 
Tumezidi kujipendekeza sasa,kwani waingereza hawawezi kukosea,hawawezi kutuzushia au kuwa wambea?

Masele hawezi kuzusha jambo kubwa hivyo na lisiwe na chembe za ukweli.

Naamini Masele ana hoja ya muhimu na Watanzania tuna pigishwa chenga za uongo nasi twashabikia ujinga.
 
Tumezidi kujipendekeza sasa,kwani waingereza hawawezi kukosea,hawawezi kutuzushia au kuwa wambea? Masele hawezi kuzusha jambo kubwa hivyo na lisiwe na chembe za ukweli. Naamini Masele ana hoja ya muhimu na Watanzania tuna pigishwa chenga za uongo nasi twashabikia ujinga.
Masele kwa sisi tunaomjua ni zuzu tu hana hoja yule na pale alipo katumwa tu. masele jaman sio riziki
 
..serikali kupitia kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje imeeleza kwamba imefanya uchunguzi na kubaini kwamba madai aliyoyatoa Naibu Waziri Massele dhidi ya Balozi wa Uingereza yalikuwa si ya kweli.

..Naibu Waziri Massele alitoa madai hayo yaliyobainika kuwa siyo ya kweli ktk kikao cha bunge. sheria za bunge zinaelekeza kuhusu adhabu ya kutolewa iwapo Mbunge atabainika kuwa alilipotosha bunge, kama alivyofanya Naibu Waziri Massele.

..Naibu Waziri Massele ameliabisha bunge letu, serikali, chama chake, pamoja na wa-Tanzania ktk ujumla wetu.

..nadhani bunge letu linapaswa kutoa adhabu kali ya Kibunge kwa Naibu Waziri Massele ili iwe fundisho kwa wabunge wengine wajiepushe na tabia ya kutoa kauli ambazo hawajazifanyia utafiti.

cc Ritz, chama, Tumaini Makene, Pasco, Nguruvi3, Mchambuzi, Mdondoaji

Kwa wenzetu asingesubiri kupewa adhabu bali angewajibika kwa kujiuzulu nyadhifa zake zote.
 
Last edited by a moderator:
Uongo ujanani ndiyo maandalizi mazuri ya unafiki na uchawi uzeeni...Alifikiri anaanza vizuri kampeni kwa ajili ya 2015 kumbe ndiyo anaharibu maskini...
 
Kwa wenzetu asingesubiri kupewa adhabu bali angewajibika kwa kujiuzulu nyadhifa zake zote.
Kwani Lowasa alijiuzulu kabla ya kuundiwa tume? Nani anapenda kuachia gari na nyumba ya kifahari au unataka mkewe amwage chozi kama la Mrs Lowasa?
 
Naona hamuelewei Masele amesema kweli basi tu masuala ya Kidiplomasia wanaona vibaya kumtimua huyo mama wa Uingereza ingekuwa nchi ndogo ya Afrika lazima angefukuzwa kama mtakumbuka kwenye miaka ya tisini alitimuliwa haraka balozi wa Uingereza kutokana na kuingilia mambo ya ndani ya nchi. kwa kuwa hamuujui undani wa huyu mama ndiyo maana mnadhani Masele amekosea. huyu mama ni jasusi fuatilieni undani wake kwa ku google mtamjua ni wa aina gani? Masele ni shujaa anastahili tuzo kabisa kwani ameweza kujitoa na kusema ukweli kwani hamjui kwamba mabalozi wengi wa nchi kuvwa kubwa wamekuwa wakiingilia sana mambo ya ndani ya nchi yetu. vile vile huyu mama alikuwa analilia hizo fedha za ESCROW zilipwe kwa Standard Chartered kwani ni Benki ya Kiingereza ndiyo maana alikuwa anapigania kwa namna yoyote ile. tatizo sisi Watanzania ni wepesi kudanganywa na tuna kasumba na kuheshimu wazungu hata kama wamekosea sisi tunaona wazungu wanatupenda, wanaaakilli kwa kuongea lugha yao ya Kiingereza, tunawaona wanasafi kupindukia.

tunahitaji vijana wasioogopa kama akina Masele!

Shujaa ni yule anayesimamia msimamo wake hadi mwisho. Kama serikali imemtangaza kuwa yeye ni "muongo" basi atoke hadharani azibitishe ukweli wake kisha ajiuzulu. Huo ndio ungekuwa ushujaa. Vinginevyo heshima yake imeshuka kwa vile ni "mwongo" (hata kama kasema kweli) na kwa kanuni za bunge anapaswa kuadhibiwa.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom