Recent content by pseeker

  1. P

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Umenena vyema mkuu, binafsi nilijiapiza kuoa mwanamke bikra, nkamtafuta kwa miaka 5, na hatimaye nikampata na nikafunganaye ndoa. Ukimtaka mwanamke bikra utampata.
  2. P

    MSUMBIJI: Watu 6 wafariki katika ajali ya ndege iliyogonga mlima

    Dah!..ajal haina kinga ila wakipa black box itawasaidia kujua chanzo hasa cha tatizo...polen sana wana Msumbiji kwa msiba huu.
  3. P

    Aisee ukweli ni ukweli tu

    Sivyo kama unavyofikiria...Russia, USA, na baadh ya nchi za uraya wana nuclear weapons...so negotiation sikuzote ndo suluhisho kuliko zita...hivyo ukimya wa USA na Uraya kwa Rassia usifikiri wamemwogopa...
  4. P

    Mgeni

    Habarin wana JF...pa1 tutajengana fikra na kuwa na mitazano chanya.
Back
Top Bottom