Recent content by ps3

  1. ps3

    JamiiForums Tanzania HIVI INAWEZEKANA UKAPATA AJIRA KUPITIA UTUMISHI (PSRP) HALAFU UKAENDA KEREPORT UKAPEWA MKATABA??

    Wanajamvi habarini, kuna kijana amepata kazi kwenye moja ya semi - autonomus authorities kupitia usahili wa ajira (PSRP) halafu ameenda kureport kaambiwa tangazo lilikosewa sio permenent and pensionable bali ni one year contract halafu HR hajui after that one year what will happen. Wazoefu wa...
  2. ps3

    JamiiForums Tanzania Toyota Prado inauzwa bei karibia na bure

    Toyota prado Ya petrol Engine 3700 222409km Bei : 15M ila mazungumzo yapo Ipo Moshi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ps3

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

    Nimeshangaa sana kumuona Lissu akiulizwa swali kuhusu Ushoga na kushindwa kunyoosha maneno kuwa hilo liko kinyume na maadili yakitanzania. Ajabu anasema anafikiri sheria ya kukataza ushoga iko kinyume na katiba. Ni wazi kiongozi huyu wa upinzani ananguvu kubwa ya mabeberu ambao kwa sasa wamekosa...
  4. ps3

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu hana kibali cha kuishi nje ya nchi, amtaka arudi mara moja Tanzania

    Watanzania em tuwe tunaonea huruma kodi zetu Lissu huyo analipwa mishahara na serikali tena mishahara mikubwa na wakati huo jimbo lake halina mwakilishi tunaelekea kwenye vikao vya bunge wanaSingida mashariki nani atawawakilisha?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ps3

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayesimamia gharama ya ziara za Lissu huko Ulaya na Marekani na anategemea faida gani?

    Lissu ananipa mashaka sana juu ya shambulio lake vile analifanya kuwa mtaji wa kisiasa. Hii inanifanya kutaka kuamini wenda ikawa alijishambulia mwenyewe. Maana amelifanya kuwa kiki, na kama mnaweza kumwambia jambo moja mwambieni hivi he doesnt fit to presidency Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ps3

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kizalendo Za Rais Magufuli Na Lukuvi Zawaponza Peter Msigwa Na Lema Mitandaoni, Bashe Amshangaa Lema

    Hehehe umenifurahisha.... Tanzania tunavitu vingi vya kujivunia na pengine haviko kokote duniani tulichokuwa tunakosa ni uchumi uliosimama nafikiri hilo linatosha kukuonesha umuhimu wa midege hiyo kupokelewa kwa shamra shamra Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ps3

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kizalendo Za Rais Magufuli Na Lukuvi Zawaponza Peter Msigwa Na Lema Mitandaoni, Bashe Amshangaa Lema

    Tatizo ni kwamba tunashindwa kutofautisha kati ya uzalendo na ushujaa. Nafikiri kuna sehemu tunapishana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ps3

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kizalendo Za Rais Magufuli Na Lukuvi Zawaponza Peter Msigwa Na Lema Mitandaoni, Bashe Amshangaa Lema

    Na pengine tuwekane sawa uzalendo sio lazma uupime kwa kujitolea maisha yako kwa ajili ya Nchi hata kulipa kodi ni uzalendo, kujivunia Utanzania niuzalendo, kutokutupa taka hovyo ni uzalendo. Nafikiri ni wakati Moderators wanatakiwa waulizie vyeti kabla yakuapprove account za watu humu JF Sent...
  9. ps3

    JamiiForums Tanzania Kauli za Kizalendo Za Rais Magufuli Na Lukuvi Zawaponza Peter Msigwa Na Lema Mitandaoni, Bashe Amshangaa Lema

    Kwenye hili lakurusha ndege kutokea Canada mpaka TZ kiukweli pilot akipata accreditation ya kuruka international inamaana yuko marketable almost dunia nzima, na kama kaamua kuajiriwa TZ na ni Mtanzania atalipwa mishahara ya vima vya kiserikali huu ni uzalendo. Na kimsingi watumishi wote ambao...
  10. ps3

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Tanzania mpya TBC: Katiba ibadilishwe Rais atawale miaka 20

    Nafikiri jambo sahihi zaidi ni kuweka misingi yakuwa na maendeleo endelevu na kuweka malengo itengenezwe kanuni ya kuweka mifumo ya vipaumbele vya kitaifa ili hata aje Raisi gani aweze kusimamiwa na bunge kuhakikisha hayo malengo yakimkakati yanafikiwa kwa muda uliowekwa. Hatakama atakuja Rais...
  11. ps3

    JamiiForums Tanzania Jinsi Joseph Kabila alivyopiga chenga ya mwili, akili za wapinzani na mataifa ya Nje!

    Siasa haina rafiki wala adui wakudumu daima kumbuka hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ps3

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukitaka kuweka hela za coin(shilingi) bank kama NMB unatakiwa kulipia 2,300/=

    Leo nimeshangaa sana nimeenda NMB kuweka makusanyo yangu madogo madogo nashangaa teller ananiambia kuna makatao ukitaka kuweka kila denomination unakatwa 2,300/= denomination mfano 50, 100, 200, na 500 hivi kweli kwa hali hii ndio tumeeweka misingi ya wajasiriamali???
  13. ps3

    JamiiForums Tanzania Hivi utaratibu wa TRA mtu akifungua biashara anatakiwa akae muda gani bila kulipa kodi na hii kitu infanyajwe officially

    Wazee nimeanzisha biashara haina hata mwezi ila TRA wameshaanza usumbufu. Nilisikia kwamba kunamsamaha wa kodi kwa biashara mpya sijui ni miezi sita. Nikitaka kupewa huo msamaha officially inakuaje kwa anayejua utarabu jamani.
Back
Top Bottom