Recent content by prync

  1. prync

    TBS interviews

    Naamisha na watu wa civil engineer (quality assurances) interview tbs inakuaje
  2. prync

    TBS interviews

    Mkuu na CIVIL JE
  3. prync

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
  4. prync

    Kuna umuhimu gani kusoma kozi ya Risk Management and Insurance?

    HABARI, Hivi wanajamvi kuna umuhimu gani kusoma kozi ya risk management and insurance? Na kama upo vipi Ajira zake maana -kujiari via iyo kozi ni kipngele sana. Mwenye -positive idea please share we with us.
  5. prync

    TCU watoa mwongozo mpya kwa MULTIPLE APPLICANTS 2018/2019

    Mkuu sijaelewa ? Tunafanya usajili direct au kujiandikisha pamoja na kuulipa ada chuo husika?
  6. prync

    TCU watoa mwongozo mpya kwa MULTIPLE APPLICANTS 2018/2019

    Shukrani sana.. Ndugu Lakin swali langu LA kwanza je unaenda kufanya usajili katika chuo chochote ulicho chaguliwa lakini kiwe kimoja tu sasa VP kwa wale ambao tumefanya confirmation Mara moja na bado TCU inatutumia code. ??? La pili kama ni usajili chuon kwa watu kama hawa waliotajwa na TCU...
  7. prync

    The Institute of Finance Management (IFM) - Special Thread

    Salaam, napenda kuuliza utaratibu wa kupata hosteli ? Na ni bei gan kwa semister , locations ? Je naweza mtu akanishikia chumba huko hosteli za chuo? Msaada wenye ujuz
  8. prync

    Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    We ulie acha mechanical utajutia mbeleni mech eng unaweza kujiari inawigo mpana sana hasa kwa nch kama tanzania inayoendelea mech eng , kila mahali. Kama wanavyosema graduate, maliza chuo huone infact kujiari kwa mtu aliemaliza chuo cha maji ni ngumu sana, vilivile kuajiriwa si rahic sana...
  9. prync

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    #MIMI 43 mkuu sijafanya reapplications yoyote kupitia tcu.
  10. prync

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    #TANZANIA YANGU NASHUKURU SANA BRO, USHAURI WAKO NI MZURI SANA SASA HUONI WANAWEZA FANYA NKOSE MKOPO KISAA BODI YA MKOPO HAJATAMBUA NIPO CHUO GANI MPAKA SASA. KIUKWELI MM NIMECHAGALIWA FIRST ROUND BT TCU WAMENISUMBUA HADI SASA BRO.. BADO TU
  11. prync

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    Bro , nimeconfrm na pia hawana options tena pale kwa sababu tiar nimesha confrm..... Na pia nimeenda chuo husika kuakikisha wakaniambia mi ni mwanaafunzi wao tiar ... Na shangaa tcu bado wamening'ania tena
  12. prync

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    hello mimi nimeconfirm tarehe 6.10 .2018 nashangaa jina langu wametoa tena kwamba sijaconfrm tarehe 14.10.2018 sijaelewa cha kufanya wadau
  13. prync

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    hello mimi nimeconfirm tarehe 6.10 .2018 nashangaa jina langu wametoa tena kwamba sijaconfrm tarehe 14.10.2018 sijaelewa cha kufanya wadau
  14. prync

    LOAN ALLOCATION STATUS.

    Ivi majina haya ya mkopo yametoka kulingana na selection round 1 na 2 au yote hadi 3
Back
Top Bottom