Kigezo ni kigezo hata angetumia ambayo anasoma na moto wa jalalani mngeuliza tu hakuna nyinginee kwaiyo serikali na wanasiasa wasibugie tu hela wakumbuke nchi hii bado sana
Si uchukue Rav4 old model mkononi hapa hapa bongo mkuu ukitulia ukajipa muda utapata usiweke vipengele vingi sna unapotaka nunua gari wakati hela ni ya manati😁😁😁😂
Dogo home umeme upo ila umekatika hizi taa ni za solar system dogo akaona vita na mwalimu ya nini ngoja nikamalize kazi yake road hapo hakuna siasa wala nini...
Mi nilikula kama roho ya michango pamoja na ada kwenye 500 nikapeleka 300 risiti nikapewa nikatumia kalamu nyeusi kurekebisha ionekane nimelipia 500 mambo yakaenda hivyo nikizungushana na mwasibu mpaka namaliza shule nadaiwa.
Sikuwahi kufata cheti wala nini mana nilizungusha nikavamia mtaa...
Naskia eti wakati anapimwa mzuka ukampanda akaanza mvuta koti doctor...
Hili jamaa sura ya kiume mambo ya kingese....
Eti ndo mlinzi wa raiya na Mali zao sasa akikutana na majambazi wanavyo kuwaga makauzu si ataibiwa na yeye akawapikie maulama ugali huko kwenye mapango😁😁💔💔👎
Mkuu video ninayo sio CCTV ni camera ya simu na mume ndo alikuwa ameshika mana ukiangalia mwanamke alianguka karibu na koch jamaa alilokuwa amelala naweza kukutumia ukajiridhisha kwamba jamaa alikuwa na ujasiri wa ajabu kabisa.
😁😁😁Russia hii inayo pora mashamba Ukraine au ile tuliyokuwa tunasimuliwa habari zake?kama ni hii itasubiri sana ila kama ni ile ya kwenye vijiwe vya kahawa inaweza ifuta America upesi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.