Recent content by proxy

  1. proxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Chai hii, hii story nilishaiona sehemu zaidi ya Miaka 4 hivi😂😂
  2. proxy

    JamiiForums Tanzania Dhibiti maneno ya kinywa chako ili uwe salama!

    Sahihi kabisa kunyamaza kunasaidia sana aisee
  3. proxy

    JamiiForums Tanzania Meneja Mawasiliano MWAUWASA katoa taarifa ya uongo kuhusu kutokuwepo tatizo la maji jijini Mwanza

    Nahitaji kujua ni maeneo yapi hapa Mwanza iwe Wilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka na watu/wakazi wake wanatumia maji ya kisima, mito au maziwa. Nahitaji hii Kwa ajili ya utafiti wa kielimu.
  4. proxy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua maeneo ambayo hayajafikiwa na huduma ya maji na mamlaka kwaajili ya utafiti wa kielimu

    Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya kisima, mito au maziwa. Nahitaji hii Kwa ajili ya utafiti wa kielimu.
  5. proxy

    JamiiForums Tanzania Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Hii ni kawaida sana, mala nyingi pressure inakua juu ukiwa hujatulia. Mfano ukiwa umetoka kupanda ngazi za gorofa 4 na ukapima pressure wakati huohuo, lazima itakuwa juu.Lakinj ukipimzika Kwa dakika kadhaa halafu ukapima, utakuta ipo chini.
  6. proxy

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ni magumu. Yamenifika kooni naomba ushauri

    Pole sana dada Kwa changamoto unayopitia. As long as you still alive endelea kumwomba Mungu na mwombee pia. Anachopitia mama ni ishu ya Kisaklojia tu kama unaweza mtafutie msaada wa kitabibu apate kutibiwa. Ipo hivi hata kama Mama amepotia mateso kiasi gani wakati wa kukuzaa, hawezi kukuchukia...
  7. proxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Nipo Mwanza, mdada yeyote aliye Single tuwasiliane
  8. proxy

    JamiiForums Tanzania Ili kuanzisha app Tanzania unahitaji vibali kutoka TCRA?

    Vibali lazima mkuu
  9. proxy

    JamiiForums Tanzania Unajua Umuhimu wa BULK SMS?

    Nina system ya bulk sms , napateje wateja? Naomba ushauri wakuu
  10. proxy

    JamiiForums Tanzania Kwa anaeuza Akaunti ya playstore

    Mimi nanayo nauza 2.7m cash
  11. proxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natakafuta rafiki wa kubadilishana naye mawazo

    Nahitaji rafiki wa kike umri kuanzia miaka 20 Hadi 33. Nipo Nwanza
  12. proxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa kushauriana naye na kubadilishana mawazo

    Nahitaji rafiki wa kike umri kuanzia miaka 20 Hadi 33. Nipo Nwanza
  13. proxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Nahitaji rafiki wa kike wa kubadilisha mawazo umri ni kuanzia miaka 20 Hadi 35 nipo Mwanza
  14. proxy

    JamiiForums Tanzania Msaada Wapi naweza pata huduma ya VPS hosting

    Hiyo haiwezi kuwa VPS, labda kama ni Bei ya IP pekeyake mkuu, kama unachukua VPS yenye customer unlimited upande wa plesk haiwezi kuwa na gharama hiyo
  15. proxy

    JamiiForums Tanzania Mamelod Sundowns have touched down safely in Tanzania

    nasikia mamelodi wanaendelea kufanya mazoezi huku wameziba uso na kupiga mashuti makali hovyo huku wameng'ata mimeno[emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom