1. Mkataba uliopewa ulikuwa ni wa aina gani? au muda gani?
2. Nashindwa kukupa majibu ya moja kwa moja kwani sielewi aina ya mkataba uliokuwa nao, maana pia sikuhizi kuna intenship contract ambayo inaenda hadi mwaka mmoja na mwajiri akawa anakuwekea hela za NSSF
3. Pia kama ulikuwa kwenye...
Habari, bado sijaweza kuelewa tatizo lako;
1. ni kwamba umebadilishwa mkoa au eneo la kazi lakini mwajiri ni yule yule?
2. umepelekwa kwa Mwajiri mpya? na mkoa ni tofauti?
3. Kampuni iliyokuajiri awali ni group of Companies au?
4. Mkataba wako ulikuwa umeisha? au ulivunjwa? au ulihama na kila...
Kwa Sheria ya Mkaosa ya jinai inasema na Sheria ya Elimu inasemaje Mkuu? Maana nafikiri zote zinatoa adhabu hiyo lakini kijamii uko na hoja nzuri ambazo zinaweza kuchukuliwa na wahusika na wakafanyia kazi, japo dhima/lengo la adhabu hiyo kuwka ni kwa ajili ya kukomesha na kutoa funzo kwa watu...
Kwa maelezo uliyoyatoa, inaonekana mwajiri alifuata utaratibu wa kufanya mashauriano kabla ya kusitisha ajira kutokana na kusitishwa kwa mradi. Aidha, mlifanya kikao cha tarehe 28 Mei 2025 na mkasaini makubaliano yaliyobainisha stahiki mlizopaswa kulipwa, ikiwemo mshahara wa mwezi Mei, gratuity...
Mbona kama unajichanganya mwenyewe? nafikiri unamuwakilisha mtu katika CMA hivyo ni vyema ukarudi kusoma provisions za sheria na kuelewa vyema kwani kila kitu kimeelezwa bayana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.