Recent content by proskaeur

  1. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Mtoto haambiliki kuhusu kombi ya HGK, nini future ya hii kombi?!!!

    Fatilia vigezo vya Pharmacy, hiyo CBG hawezi kusoma pharmacy,
  2. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Simba mnatupa sex football ila jiangalieni

    Mkuu hongera Kwa ushindi, ila naomba unijibu boss umenisahau kabisa
  3. proskaeur

    JamiiForums Tanzania FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

    Wakuu Kuna link ya kucheki hii game?, kama ipo tusaidiane cc: Scars
  4. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa pesa una uma🥲

    Boss umenisahau please ukipata nafasi naomba unijibu
  5. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Nimewaza hili🤔

    Mkuu habari, naomba unijibu pm mkuu wangu
  6. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

    Boss kwema, nimekucheki Pm, ukipata wasaa naomba unijibu
  7. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kozi nzuri ya afya kwa diploma kati ya DENTISTRY, RADIOLOGY & NURSING

    Soma Nursing then ukasome lugha ya kijerumani ukafanye kazi Germany, ni rahisi ila uijue lugha kwanza, Kila la kheri kwenye machaguo
  8. proskaeur

    JamiiForums Tanzania KERO Kulikoni Wanafunzi wa Sengerema College hawajapata Misimbo ya NACTE hadi sasa hivi? Tukiwapigia simu hazipatikani

    Mkuu pole sana Kwa Hilo tatizo, lakini mdau hapo juu alichokujibu ni sahihi kabisa, huwa Iko hivi wakati wa kuomba chuo mwanafunzi akishachaguliwa kama anataka kuhama chuo ni lazima awasiliane na chuo alichochaguliwa then atolewe kwenye system ya chuo anachotaka kuhama Ili Aidha aombe upya ama...
  9. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi bila kazi yeyote, tusaidiane

    Karibu
  10. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuishi bila kazi yeyote, tusaidiane

    Hii ya dagaa kama utahitaji kufanya, fanya hivi, nunua wale dagaa wa mafuta PURE namaanisha wale waliokaangwa wakiwa wabichi kabisa, then funga kwenye package kadiri utaona inafaa, zunguka mashuleni, supermarket peleka mzigo, lakini pia tafuta connection na manesi mahospitalini ndio mboga zao...
  11. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuhusu Phobia na Mental Disorders?

    Hii ni OCD mkuu, Kila mtu ana changamoto yake ya Afya ya akili ni vile hajakutana na triggering factor, mfano wa triggering factor ni genetic kama kwenye familia Kuna mtu ana shida ya Afya ya akili tunakua more likely na Sisi kulipuka, kingine ni environmental factors mfano madawa ya kulevya...
  12. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Nauza ream paper bei 50,000 kwa katoni, quality ya Double A 100%

    Wakuu wote mliouliza nachukua nafasi hii kumjibia, Carton Moja inakaa ream Tano, Asanteni nyote Kwa uvumilivu wenu
  13. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Mkuu nimejaribu ila imenigomea, hapa Kuna image ya namna unaniletea Majibu nikijisajili
  14. proskaeur

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Nisaidie namna ya ku access hii Claude maana nimeingia google nika search then Inataka ni Create account ila Kila niki create account inataka niweke namba ya simu nikifanya hivo Kwa kuweka +255 code ya Tanzania then namba yangu ya simu inasema phone number doesn't exist, nafanyaje mkuu kuepuka...
Back
Top Bottom