Hivi kweli kwa jinsi tekinolojia ilivyo na mpaka sasa Tanzania tuko 5G bado usajili vyuoni unafanyika kwa kujaza fomu, ujaze fomu zaidi ya 2, uanze kuzunguka kuthibitisha vyeti n.k, kweli?
Taasisi za elimu ya juu ndizo zingekua mbele katika matumizi ya tekinolojoa lakini bado mpaka mwanafunzi...
Inawezekana mwanadamu ameumbwa awe na huzuni tu siku zote furaha tunalazimisha? Ukijipima kwa mwezi una furaha mara ngapi na huzuni au majonzi mara ngapi? Kuna magonjwa, misiba, kuudhiwa, makwazo ya maisha n.k
Taifa kwa sasa linaitaji kuwa na kipimo au utaalam unaoonesha mipaka ya utimamu na tatizo la akili. Pamoja na kwamba afya ya akili ni tatizo na lipo kama lilivyo tajwa lakini kwa ukosefu wa vituo vya uduma vilivyo karibu na wataalam wanaopatikana kwa urahisi wananchi hawana elimu ya kutosha...
Hi JFs'.
kumekuwa na kasumba ya watu au kuwa na hadhi katika jamii kwa sababu ya kazi wanazo zifanya hasa kutokana na elimu waliyo nayo. Kwa mfano daktari ataheshimika tu kwa sababu ni daktari ata kama hatibu wala hana kituo cha kutolea uduma. Rubani anapewa hadhi fulani ata kama hana ajira...
Shule kupitia kamati zake wakija na maazimio nq yakapitiwa na viongozi wa serikali kwa maboresho na taratibu zote muhimu zikafuatwa nina uhakika wazazi watalipokea vizuri tu ukizingatia ni kwa maslahi ya watoto wao
UTANGULIZI
Injini yoyote ili ifanye kazi inahitaji mafuta ya kuiendesha na kuirainisha, hii ni sawasa na mahitaji ya mwili. Mwili ili ufanye kazi unahitaji upate chakula kwa matumizi mbalimbali. Mwili unapopata chakula unaruhusu viungo vyote vya mwili kwa umuhimu wake kufanya kazi zake vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.