Usajili taasisi za elimu ya juu ni kero

Usajili taasisi za elimu ya juu ni kero

Proporis

Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
12
Reaction score
7
Hivi kweli kwa jinsi tekinolojia ilivyo na mpaka sasa Tanzania tuko 5G bado usajili vyuoni unafanyika kwa kujaza fomu, ujaze fomu zaidi ya 2, uanze kuzunguka kuthibitisha vyeti n.k, kweli?

Taasisi za elimu ya juu ndizo zingekua mbele katika matumizi ya tekinolojoa lakini bado mpaka mwanafunzi ateseke tu, na baada ya miaka kadhaa fomu zinateketezwa.
 
Nawezaje kuediri neno usajiri?
 
Hizo ni taasisi zisizojielewa.
Chet Cha form 4 na 6 ni Ukiingiza index number kipindi unaaply kinasoma Moja kwa moja NECTA na Diploma AVN inasoma Moja kwa moja NACTE.
Sasa chuoni wanahakiki nini tena au wanavijua vyeti zaidi ya NECTA na NACTE.
 
OT: Siku nimeenda pale external maabara kuu ya taifa halafu SUMA ananipima joto kakuta limezidi 0.5C kamwambia oya afande daka wakwako huyo (yaani mimi ni Covid-19 suspected) nilicheka sana

Hata mwendokasi kuchana tiketi ni jambo la kushangaza mno
 
Hahaha nimecheka kifala.

Btw, kuhusu usajili vyuoni kwanza kabisa ni vyuo vingi vikubwa vina wafanyakazi wazee wasio endana na kasi ya technologia.

Pia kuna mlundikano mkubwa wa wafanyakazi wasiokua na uelewa wa mifumo mipya.
 
Mnapenda kulalamika na upumbavu Mwingi .

Msiendekeze kuwekeza Nguvu katika ujinga wa kulalamika Ni upuuzi tu.
 
Back
Top Bottom