Recent content by Propofol o

  1. Propofol o

    Spika mstaafu Tulia Ackson ana Siri ipi?

    😂 unakujua Ileje mzee kaka?
  2. Propofol o

    Mnaikumbuka ile 20 bilioni ya kazi maalumu. Huyu mama hapana

    Umeandika nini sasa? Umeitaja bill.20 imefanya nini sasa? Kama unajua si useme. Maelezo umeandika kama mfu atembeaye duniani bila makazi- umepigwa na upofu wa ufahamu hujui unaelezea nini. Kama huwezi kuwasilisha ujumbe kwa watu kaa kimya ujifunze,maarifa yako finyu usitoe hoja inayohitaji...
  3. Propofol o

    PostGE2025 Leteni vitisho tena tutaheshimiana walahi bado siku 12

    Aisee binadamu hawaeleweki nyee!
  4. Propofol o

    Hapo mlima Kitonga mbona kuna watu hawaeleweki aisee

    Hadi upite na usafiri binafsi ndipo utawaona vipi wengine wakiwa kwa bus hawataona?
  5. Propofol o

    Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

    Kwahiyo nawe unakubali kuwa CCM ni majizi Lucha?
  6. Propofol o

    GE2025 Naona dalili ya watu wengi kutojitokeza kesho. Je, Mgombea asipopata 50% itakuwaje?

    Watachota vipi wakati kura zinapigwa na kuhesabiwa manual- wanaweza kuiba ila siyo kwa njia uliyoisema wewe! Usizungumzie tena hayo mawazo Yako sawa?
  7. Propofol o

    Wao tunaowaona wana matatizo ya akili, cheki hapa kapeleka takataka mbele ya kituo cha Polisi Mburahati

    Kwahiyo aliyekaa pale ukutani ni Askari mwenzao ndiyo maana kaachwa,sasa pale anatafuta taarifa kwa raia?,au ni usalama anatafuta taarifa kwa police? Kama chizi wa kweli hawezi kukaa ina maana aliyekaa anajulikana na police! Sasa kama anajulikana atafanikishaje jambo lake pale. Unapenda mambo...
  8. Propofol o

    Wao tunaowaona wana matatizo ya akili, cheki hapa kapeleka takataka mbele ya kituo cha Polisi Mburahati

    Kwa hiyo imewezekana yeye kukaa hapo kisa ni kitengo? Angekua si kitengo asingeweza kukaa hapo! Huyo kitengo atafanikisha lipi sasa,sababu wamemuacha kwa kuwa wamemjua ni kitengo?
  9. Propofol o

    GE2025 Kikwete ndiye janga la taifa kabisa! Katiba hatuna leo kwasababu yake

    Kikwete alianza urais mwaka 2005, 2015 akastaafu.. leo ni miaka 10 baada ya urais wake. Yeye pekee tu kati ya watu million 60 ndiye mwenye jukumu la kuleta katiba mpya?
  10. Propofol o

    Je wajua kwa nchi zilizoendelea, kukopa na kununua kwa fedha taslim gharama ni sawa?

    Umesema anatumia tsh 5000 kwa siku…hiyo 350000 umeipataje sasa ukizidisha kwa idadi ya siku za mwezi? Au kuna mabadikiko ya idadi ya siku ktk mwezi mmoja?
  11. Propofol o

    Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

    😂😂 umeibuka! Unawatetea mzee,kaka,mzazi!
  12. Propofol o

    Idadi ya watoto wa Chid Benz yazua gumzo

    Kweli mzee watu wakwere kweli, eti gumzo!
Back
Top Bottom