Recent content by Prophet Y

  1. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Kipi kifanyike ili kutatua hayo yote?
  2. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Hataki nimpe lifti mdogo wake

    Mke ameshagundua kuna dalili za kuchepukaa... Mtafutie nyumba akapange tuu. Maisha yaendelee
  3. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

    Jamni Shinyanga kuna fursa gani huko tuje
  4. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu DTB

    Hao DTB sina hata hamu nao... Email address yao feki kwanza. Nikapeleka kwa mkono headquarter kwao huyo secretary jibu na jicho alivyonitolea niliondoka bila hata kuaga
  5. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Job vacancy at DTB

    Jana nimefika kwenye office zao. Mapokeo tuu ya secretary yamenimaliza nguvu. Amenijibu kwa nyodo nikahisi ninanuka mavi. Kifupi ni ubabaishaji inaonekana watu wemeshawekwa. Wametangaza tuu kutuzingua
  6. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Urgent: I need data entrants today and tomorrow

    Thanks you for ur feedback be blessed.
  7. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Urgent: I need data entrants today and tomorrow

    Hello kanyagio I have send my cv and certificates but no feedback
  8. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Job vacancy at DTB

    Peleka application letter yako moja kwa moja makao makuu
  9. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Kazi kwenu vijana wenzangu....!!

    Poaaaaa
  10. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi BoT

    Jamani aliyeelewa vizuri hizi qualifications. Kwa Graduated anaweza kutuma maombi?
  11. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi BoT

    Hapo penye overqualification hapooo. So waliomaliza chuo wasi apply or?
  12. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Coca Cola Kwanza (GIT2015)

    Hata Mimi pia nasubiriaaa sijui watatuitaa au ndio wameshapeana wenyewe kwa wenyewe.
  13. Prophet Y

    JamiiForums Tanzania Andika namba mbili za mwisho za simu yako

    ....78
Back
Top Bottom