Duh! Hiyo kama ww co mhusika haiwez ikakugusa....kama ww unahc inaweza kukuhusu lakn unaona kama haiji(non sense) yawekana kaiweka kwa ajili ya best yake mwingne na haimhusu yy
Mm naona kuna mtu anakua kalengwa haswaaaaaa
Maana status kama hiyo, mtu anaweka special kwa ajili ya mtu Fulani...kama ikiwa inakuhusu ndo utajua.... Lakn kusema hivyo haimaanishi na mm imenitokea ni research tu nimefanya kwa wa2
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.