Recent content by Promota

  1. Promota

    Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Napenda hii, nami pia naamini hivyo.
  2. Promota

    Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Pole kwa tatizo linalokusumbua. Nakushauri uusome kwa makini ukurasa huu hapa chini lili kujua kiini cha tatizo ulilo nalo. Chunusi: Chanzo, Aina Na Jiinsi Ya Kuzuia Chunusi | Top Wellness Products In Tanzania Ili kupata dawa za kuondokana na tatizo hilo, wasiliana nami kupitia 0655 858027.
  3. Promota

    Msaada: Dawa ya kuongeza Homoni ya Testesterone mwilini

    Ndugu yangu tatizo la low sperm count linaweza kusababishwa na vitu vingi pamoja na kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosterone. Dawa ya kuongeza kiwango cha homoni hiyo mwilini ipo kwenye maduka ya madawa lakini haitolewi kiholela bali kwa ushauri wa daktari anayetambilika. Dawa hiyo...
  4. Promota

    Nini maana ya upungufu wa nguvu za kiume?

    Mimi nafikiri neno "upungufu wa nguvu za kiume" ni neno ambalo limekuwa likitumika kwenye jamii yetu kuelezea hali tofauti tofauti ambazo mwanamme anaweza kuwa nazo ambapo hawezi kufanya tendo la ndoa cha kutosheleza. Ni kama mwavuli ambao umefunika vitu vingi chini yake. Nafikiri mwanamme akiwa...
  5. Promota

    Njia za asili za kukuza uume

    Anayependa kuhakiki kile alichokisema kijana Omary Chande atazame video hii niliyoiona YouTube: http://sagalawebs.com/sagpenlarge
  6. Promota

    Online Business in Tanzania problems

    I have had a similar problem. NBC told me the only way was through TT (Telegraphic Transfer) but it's very expensive. I've been getting my commissions from abroad through Western Union, it's less expensive. I'm working to get a Pioneer Debit Master card, I think it'll be my best solution.
  7. Promota

    Najitambulisha Kwenu Wana JF

    Ahsante sana Bhululu.
  8. Promota

    Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Kwanza natoa pongezi nyingi sana kwa ndugu yetu aliyechokoza mada hii, ni ya manufaa sana. Pili kwa wote waliochangia. Mimi huagiza mizigo nje (natumia Debit Mastercard ya NBC) ila sijawahi kutumia Forwarding companies kama walivyotumia wenzangu. Nilikuwa na mpango wa kuagiza bidhaa toka...
  9. Promota

    Wataka Kufanya Biashara Yako Kwa Kutumia Mtandao?

    Kuna njia nyingi ambazo unaweza kuzitumia ili kuboresha au kufanya biashara yako kwa kutumia mtandao. Katika nchi kama Marekani, Canada, Uingereza na Australia, njia hizi zinatumiwa na wafanyabiashara karibu wote kuanzia makampuni makubwa kabisa hadi zile biashara ndogo za mitaani. Kuna faida...
  10. Promota

    Najitambulisha Kwenu Wana JF

    Ahsanta sana Globu.
  11. Promota

    Best websites and worst websites in Tanzania

    Mada hii imenivutia mno. Kwa bahati nzuri niliandika kuhusu sifa za tovuti bora kwenye tovuti yangu. Waweza kusoma hapa What Makes A Good Website Design - Home Based Business Training na baada ya kusoma mada hii nimeandika tena kujibu swali hili ndani ya tovuti nyingine ninayomiliki yenye lengo...
  12. Promota

    Best websites and worst websites in Tanzania

    Mada hii imenivutia mno. Kwa bahati nzuri niliandika kuhusu sifa za tovuti bora kwenye tovuti yangu. Waweza kusoma hapa What Makes A Good Website Design - Home Based Business Training na baada ya kusoma mada hii nimeandika tena kujibu swali hili ndani ya tovuti nyingine ninayomiliki yenye lengo...
  13. Promota

    Hi, JF members!!

    Karibu sana JF.
  14. Promota

    Najitambulisha Kwenu Wana JF

    Ahsante Ulimakafu.
Back
Top Bottom