1: Uchawi na ushirikina
2: Madeni yasioisha
3: Wadada wenye makebo makubwa
4: Pombe, beer, spirits, matapu tapu
5: Tabia na hurka zako binafsi
6: Fitina na Kufanyiziwa
7: Kipato kidogo
8: Matumizi makubwa na wategemezi wengi
9: Hauna ajira au kutokuwa na ajita ya kuaminika
10: Uraibu wa...
Kama mtu anaweza kusimama na na kudanganya wananchi kuwa ataweletea maziwa na asali na baada ya miaka mitano kuisha unamuona LC300 binafsi , hayo maziwa na asali mnayaona tu you tube then kwanini ni wahukumu wadada wenye makebo makubwa namna wanavyofyonza pesa.
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Wadada wenye makebo makubwa, wamepanda bei, wamepanda mashetani ya visirani na viburi, mnahangaika nao sana kwa ajili tu ya minyama yao.
Mdada mwembamba hata ukimwambia sina pesa anakuambia wiki hii jitahidi unisaidie ila mwenye makebo makubwa anakuacha wiki hio hio.
Lakini zaidi kwenye...
Muwe na weekend njema wakuu.
Msikatae asili zenu, kwanini nijifanye taita humu JF kama wengine?
Mdada yoyote karibu kwa zena kuanzia saa kumi ,haijalishi una makebo makubwa au lah, karibu, drinks on me
Mmoja nishatumia nauli anakuja👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.