Nyinyi wapuuzi mnaoshindanisha maeneo hamna hata vibanda, mkipanga vyumba vya 40 huko Goba mnakuna kututambia hapa. Karibuni Vikindu huku Kuna rahaa yake, nina heka nzima nimezungusha fence ndani Kuna miwa, miembe, mipera, papai, mboga mboga, parachichi, ndimu, nyanya chungu, Sasa nyie endeleeni...