Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

Kipi kianze, kujenga nyumba au kununua gari la kutembelea?

Hiyo hapo chini ni definition ya fixed asset , nazani huelewi
  1. assets which are purchased /made for long-term use and are not likely to be converted quickly into cash, such as land, buildings, and equipment.
Aha haya mambo ya fixed cost sijui fixed input,profit of maximazation na takataka zingine zote nafahamu
Lakini turudi kwenye uhalisia wa maisha hv mara ngap unasikia nyumba imeteketea kwa moto? Ndy maana nikasema hata nyumba siyo fixed input

Kwahy hata gari basi ni fixed kam vp

Wachumi wajanja sana.
 
Nunua gari ya maana Kuanzia 40mil Kam anayoendesha Mshana Jr

Au Jenga nyumba ya maana yenye viwango vya Mchizi was east zuu Mangwea

Usifanye vitu vya kununua sijui Ist au kujenga nyumba za Ajabu
Bora uendelee ku-make pesa ununue kiwanja Sehemu nzuri
Hahahah likoje ilo
 
"Siyo kila asiyekuwa na nyumba ni mpangaji" hapa unaishi nje au hotelini?
Kwahiyo wewe unaamini watu wote wasiokua na nyumba, wanaishi nyumba za Kupanga.
Sina nia ya kujisifu Nyumba ya pale Chamanzi ameishi miaka miwili bure.

Mdogo wangu, anaishi na familia yake kwenye nyumba yangu, mkoani.
 
"Siyo kila asiyekuwa na nyumba ni mpangaji" hapa unaishi nje au hotelini?
si ndio hapo katoa kauli tata,
Ushauri wangu anza jenga nyumba tena nyingi za kutosha ufanye na biashara ya nyumba ( lodge , makazi na fremu ) hutajuta maisha yako yote.
Gari ununue baada ya kujenga , tena hata gari ununue gari za biashara
Ukifata ushauri wangu huu hutajuta maishani
Naongea kwa experience
 
Kama uchumi wako ni WA kawaida na gari Lako ninla kwanza huwa nashauri watu wanunue vigari vidogo visivyotumia mafuta mengi halafu uwe Una upgrade Magari makubwa taratibu!

Kama Uchumi wako ni WA kawaida ukianza na Magari makubwa utajuta
Vits jamani ni kubwa
 
uchumi wa kawaida ni upi mkuu...Mimi napokea laki nane na nusu bado huo uchumi hauruhusu kununua gari?
 
Inategemea na kipato chako. Zamani kumiliki gari ilikuwa Kama anasa tu, lakini kwa Sasa kumiliki gari ni hitaji la msingi Kama ilivyo tu kumiliki nyumba.. Hivyo, Kama uko vizuri fanya vyote.
 
Back
Top Bottom