Wewe Ng'ombe wa UKAWA acha uzushi. Alichosema magufuli ni kwamba hakuchangisha na hakuchangiwa pesa. Air time sio pesa. Ni air time ambayo ni sehemu ya vipindi vya habari vinavyorushwa bila kulipia. CHADEMA walipata vipindi toka ITV. HII HAKUWA PESA. ni air time.
Anachokifanya magufuli ni sera ya CCM aliyoinadi wakati wa kampani. Hata ktk ziara zake Kinana kabla ya uchaguzi na wakati wa kampeni alizungumzia haya. Hakuna sera ya CCM inayokumbatia ufisadi. Vinginevyo hujui maana ya sera. Wewe hayo unayosema umepata kutoka ukurasa gani wa ilani au sera ya...
Tulia wewe. Hayo pia ni mabadiliko...... Kura hukumpigia afu unaleta kelele..... Sie tulompa kura tunahakika na kazi yake..... Hayo yako kachukue kwa uliyempa kwa kuzungusha mikono.
Baadhi ya wanadamu hupenda kuongeza maneno yao kama huyu mtoa post. SAFARI ZA NJE HAZIJAFUTWA KABISA. NDIYO MAANA AKASEMA KAMA NI LAZIMA SANA BASI NI SHARTI IPATE KIBALI............ NI VEMA MJUE KWAMBA KAMA VILE MLIVYOKUWA MKILALAMIKA JUU YA SAFARI ZA RAIS, NA WATENDAJI WENGINE WALISAFIRI HIVYO...
Mtoa posti hii Kwa vyovyote vile hamnazo. CHADEMA NDIYO CHAMA CHA KWANZA DUNIANI KUTANGAZA KWAMBA LOWASA NI FISADI. ILIKUWA TAREHE 15 SEPT 2007 MWEMBE YANGA. KWA MIAKA NANE CHADEMA walizunguka nchi nzima wakisema kwa sauti kuu na kinywa kipana kuwa lowasa ni fisadi. Nani anamuonea Lowasa.
Nilipata kuwaambieni ninyi CHADEMA kwamba huyo jamaa ni sumu kwa chama hata kama mnadhani mtapata faida kwake. CHADEMA imeramba sumu kali. Tumbo limeanza kukata. Kifo cha chama ki mbele yenu.
Hii ndio tatizo la watu kutofikiri wenyewe nje ya box. Kila atakachosema mbowe watu wanakibeba bila kufikiri. CHADEMA NDIYO CHAMA CHA KWANZA DUNIANI KUTANGAZA KWAMBA LOWASA NI FISADI. Mbowe alipowaambia kumpokea kila mtu cdm amekariri maneno ya mbowe....... Kwa habari ya kulinda kura watu...
Haya rudini tena kariakoo mkakusanye maoni kwa vibaka kujifurahisha. Mwaka huu tunabomoa hadi kibanda cha umbwa
TAKWIMU...UTAFITI ULIOFANYWA NA SHIRIKA LA UTANGAZAJI DUNIANI BBC..
KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO:
DAR ES SALAAM
lowassa 50%
Magufuli 48%
IRINGA
Lowassa 43%
Magufuli 54%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.